"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

Wameshampasua

Kafutwa kazi
 
sorry mkuu unaweza kunipitisha kidogo historia ya taifa hili ? Maana nimeshangaa prime ministers 29 duu.
Tatizo nini hawa siasa zao .?
Ingia hapa chini utapata taarifa ulizohitaji zote ikiwemo sababu za kuondolewa mawaziri wakuu hao, waliokaa kwa muda mfupi zaidi (wiki 2), waliochaguliwa na kutenguliwa hadi mara 3 (vipindi tofauti) n.k.

 
asante πŸ™πŸ™πŸ™. Hivi pm wetu Majaliwa angetoboa kweli na huu uongo wake !?πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
asante πŸ™πŸ™πŸ™. Hivi pm wetu Majaliwa angetoboa kweli na huu uongo wake !?πŸ€”πŸ€”πŸ€”
🀣🀣🀣 Majaliwa angekuwa huko angedumu ofisini kwa wiki mbili tu...kisha wangemla kichwa

 
Reactions: F9T
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…