Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa
Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke ni mgumu hivyo anashidwa Kabisa kupitisha uume nilitaka nimshauri atumie vilainishi(ila Sina uzoefu na vilainishi) ila Nimeona Nije hap jukwaani Tupate majibu Kwa wazoefu
Je anaweza njia gani kukalibiana na hii Hali