Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful
Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata visa hata kujieleza tu halijui.. US embassy tendeni haki marekani sio Mbinguni msitubabaishe apa
Nimejaribu pia UK na Australia nako Hola naona Sasa nitumie njia za panya tu,, yani hata Mina Ally nae walimyima visa ya USA 🤣🤣🤣.. Hawa watu kama hawatutaki watoke nchini kwetu wapeleke ubalozi sehemu zingine bhnaa maana naona tuna mahusiano ya kinafiki tu
Wazoefu tunaomba majibu Asante.