Mnatumia njia gani kupata visa ya USA na CANADA?

Mnatumia njia gani kupata visa ya USA na CANADA?

Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful

Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata visa hata kujieleza tu halijui.. US embassy tendeni haki marekani sio Mbinguni msitubabaishe apa

Nimejaribu pia UK na Australia nako Hola naona Sasa nitumie njia za panya tu,, yani hata Mina Ally nae walimyima visa ya USA 🤣🤣🤣.. Hawa watu kama hawatutaki watoke nchini kwetu wapeleke ubalozi sehemu zingine bhnaa maana naona tuna mahusiano ya kinafiki tu

Wazoefu tunaomba majibu Asante.
1725128020103.png

Jiweke kama hivyo halafu nenda ubalozini useme unataka kuuliwa.

Ila ukubali test. Kuna mizee itataka kujaribu kama yaliyomo yamo.

1725128141329.png

Ila haitokuwa ngumu kwako maana ulishawahi leta uzi wa kutamani kuwa mwanamke na viashiria tayari unavyo👇





Kila la heri teacher mstaafu.
 
Walimuu mkujee mumpe msaada Rafiki yenu, yeye amekwamaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Balozi wa USA ni member wa JF itakuwa anasoma nyuzi zako unavyowashambulia waalimu akaona ukienda America utasumbua waalimu wa kule.
 
Watu wengi wanakataliwa kwa sababu hawaonyeshi ties (documents) za kutosha kuonesha kwamba anarudi nchini, ana familia na kazi au biashara ambayo itamfanya arudi Tanzania.

Wakiangalia application zenu nyingi zinaonesha mnaenda kuzamia, hazijakamilika
 
Kila kitu unacho (Vigezo), bank statement, unajua kujieleza, umesoma (May be)... lakini unakataliwa!!? Jiangalie kuna kosa umelifanya la kuwadharau hao watu pori wa Kigoma ambao umesema hawajui kujieleza na Mungu anakuadhibu pasipo wewe kujua ... TAFUTA PASTOR ILI UTUBU HII DHAMBI.
 
Back
Top Bottom