Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hapana siwatakiVipi walimu wanaruhusiwa kutoa ushauri?
Ghnaa 😂😂😂😂Kama upo serous nikuunganisha na mtu,mnafungua block akunt,visa inatoka na yeye ndiyo anachukua pesa.
N Mtu wa Ghana lakini.
Maisha magumu ngoja tuwaachie Akina nape na kiparaUnataka utoroke uende wapi gogoz?Utabaki kwa nguvu tulime karanga na mtama hapohapo Idodomya.
Nijitafakarije SasaUkiona unakataliwa Visa na unadhani umekidhi vigezo, jitafakari.
Hatari sana.Maisha magumu ngoja tuwaachie Akina nape na kipara
Mpwayungu unaitwa huku wakuibieKama upo serous nikuunganisha na mtu,mnafungua block akunt,visa inatoka na yeye ndiyo anachukua pesa.
N Mtu wa Ghana lakini.
Unaonekana kama gaidi.Nijitafakarije Sasa
Naibiwaje Kati inabidi nitoe pesa visa ikitokaMpwayungu unaitwa huku wakuibie
marekani umeomba visa ya aina gani?Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful
Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata visa hata kujieleza tu halijui.. US embassy tendeni haki marekani sio Mbinguni msitubabaishe apa
Nimejaribu pia UK na Australia nako Hola naona Sasa nitumie njia za panya tu,, yani hata Mina Ally nae walimyima visa ya USA 🤣🤣🤣.. Hawa watu kama hawatutaki watoke nchini kwetu wapeleke ubalozi sehemu zingine bhnaa maana naona tuna mahusiano ya kinafiki tu
Wazoefu tunaomba majibu Asante.
Matembezimarekani umeomba visa ya aina gani?