Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliteseka kufanyaje mkuu?Natumiaga BIC si nikabadilisha aisee niliteseka sana nikahisi ninashida kumbe chanzo ni nyembe[emoji23]
Haha kikwetu hiko aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mae kanyi!!!!!!!
Hizo kwa sasa zote na fakeGillette...
Wembe ni ule ule wa ushindi ... in Kapteni Komba voice(RIP)Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu,Ni Zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
Siyo kweli au labda zile unazonunua kwa mangi.Hizo kwa sasa zote na fake
KweLi rungu max kipind znaingia zilikua zinakata balaa lakn sku hzi ukijinyia unaumia kichz halafu nyembe ndo kwanza mpYaTatizo bongo zikiletwa nyembe kali zikateka soko jua hazitodumu maana zitajazwa feki zake na kuziharibia soko.
Mfano Topaz OG zilikuwa balaa baadaye zikaja fekelo hadi zimeondoka sokoni.
Hata hizi Rungu max zinafungashwa na kampuni zaidi ya moja na feki ndio zimetamalaki.
All in all kiwembe kilikuwa Nacet then kikafuata Perma Sharp
Vipi binam, kimbunye kiliota vipele na muwasho mkali?Natumiaga BIC si nikabadilisha aisee niliteseka sana nikahisi ninashida kumbe chanzo ni nyembe[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha kikwetu hiko aisee [emoji1787]
... hii DORCO ilikuwa baada ya DONCO, Sijui vilipotelea wapi hivi viwembe vya DONCO Super Chrome, Vilikuwa viwembe vikali sana vina rangi inaenda kwenye weusi ukivikunja kidogo tu vinavunjika sio kama haya mabati ya siku hizi.Kucha natumia DORCO ila kunyoa natumia mashine, mwaka 2010 nilikuta mashine za kunyolea pale mlimani city duka la game wameziweka kwenye mkapu mkubwa wanauza elfu10 tu ilikuwa punguzo baab kuuubwa nikachukua 5 huwezi amini hadi leo mashine mbili sijazigusa na moja niligawa.
Tuone picha mkuuKucha natumia DORCO ila kunyoa natumia mashine, mwaka 2010 nilikuta mashine za kunyolea pale mlimani city duka la game wameziweka kwenye mkapu mkubwa wanauza elfu10 tu ilikuwa punguzo baab kuuubwa nikachukua 5 huwezi amini hadi leo mashine mbili sijazigusa na moja niligawa.