Mnatumia nyembe gani?

Ndugu vp ... Upele unasumbua nn ?
Wapo wadau humu wanapiga guitar siku2 baada ya kunyoa πŸ˜‚
 
Ukimaliza siliba na kipande cha limao kaa nusu saa piga maji moto.Asante.Nimesahu paka pia na mafuta ya nazi ( Parachute).
 
Wembe ni ule ule wa ushindi ... in Kapteni Komba voice(RIP)

Wana CCM waje hapa waseme wembe wao ni upi wanaoutumia
 
KweLi rungu max kipind znaingia zilikua zinakata balaa lakn sku hzi ukijinyia unaumia kichz halafu nyembe ndo kwanza mpYa
 
Kuna siku nikawa najinyoa yaani utafikiri nanyofoa nywele kwa maumivu nilopata.
 
... hii DORCO ilikuwa baada ya DONCO, Sijui vilipotelea wapi hivi viwembe vya DONCO Super Chrome, Vilikuwa viwembe vikali sana vina rangi inaenda kwenye weusi ukivikunja kidogo tu vinavunjika sio kama haya mabati ya siku hizi.
 
Tuone picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…