Mnatumia nyembe gani?

Mnatumia nyembe gani?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu.

Ni zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
 
Siku hizi hakuna nyembe kuna ujinga.

Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi tulikuwa tunachonga penseli kwa kuelekea mbele lakini sasahivi hakuna anayeweza tena hivyo badala yake wote wanachonga kwa kuelekea nyuma (kwenye mkono ulioshika penseli)
 
Kuna wembe sio mashine unaitwa BIC ni noma, utafute utanipa mrejesho
 
Unakata hadi machungwa
IMG_20220717_202658_7.jpg
 
Kuna wanaofuga.. hizo brand za nyembe hawazijui
 
Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu,Ni Zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
Ninja
 
Natumiaga BIC si nikabadilisha aisee niliteseka sana nikahisi ninashida kumbe chanzo ni nyembe[emoji23]
 
Kucha natumia DORCO ila kunyoa natumia mashine, mwaka 2010 nilikuta mashine za kunyolea pale mlimani city duka la game wameziweka kwenye mkapu mkubwa wanauza elfu10 tu ilikuwa punguzo baab kuuubwa nikachukua 5 huwezi amini hadi leo mashine mbili sijazigusa na moja niligawa.
 
Tatizo bongo zikiletwa nyembe kali zikateka soko jua hazitodumu maana zitajazwa feki zake na kuziharibia soko.
Mfano Topaz OG zilikuwa balaa baadaye zikaja fekelo hadi zimeondoka sokoni.

Hata hizi Rungu max zinafungashwa na kampuni zaidi ya moja na feki ndio zimetamalaki.
All in all kiwembe kilikuwa Nacet then kikafuata Perma Sharp
 
Back
Top Bottom