Mnatupa wakati mgumu saana.

🀣🀣🀣
Unaona sasa. Hii ID hii, ndio nyinyi mnatuchanganya jamani. Wewe umejiunga November halafu tayari unajua kucheka namna hii, huu si utani huu??? Mnatutaftia sababu tu jamani. Tuje PM yawe mengine🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] this is hilarious
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!

🀣🀣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakayo utaniuaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁 Mimi mpya jamani..
Kwani huko PM ndio wapi?
 
Kama nawaona wanaume mnavyochanganykiwa na kubet [emoji23]🀣🀣🀣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…