Hahaha! Daby bwana...Usichanganye mafile mie ni huyu huyu Pyaar mwenye ID hii hii. Sio wa zamani wala mpya.😆 Uzi wako haunihusu kabisa.Basi sio wewe.
Nimekufananisha.
Hapana nimekufananisha na mtu nje ya JF...ingekuwa wewe ndiye yeye angeweza kutambua L.K ni initial ya jina lake.Hahaha! Daby bwana...Usichanganye mafile mie ni huyu huyu Pyaar mwenye ID hii hii. Sio wa zamani wala mpya.[emoji38] Uzi wako haunihusu kabisa.
Kila mwanamke ni "Mrembo"..so mi huwa nageneralizeHuyu mdada mrembo eeeh?
Ni avator tu nothing special wengne tuko na sura za baba zetu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo...ID naiona vizuri ila kusoma mtihani.
Nimekupata mkuu.Hapana nimekufananisha na mtu nje ya JF...ingekuwa wewe ndiye yeye angeweza kutambua L.K ni initial ya jina lake.
Nimeanza kuona Id yako siku kidogo...anatumia hili jina kila mahali.
kwani unachohofia kwa wakongwe ni nini kuprotect reputation au umekwisha wafyonza wote?Na nani sasa mkuu wakati sijui kama ni mpya au ya zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23] inatamkwa hiviWanawake wazuri wanakuwa-ga na mashauzi bhana.
Haya inatamkwa Wehura? Au YUrura?
huhahahaUtajiskiaje ukigundua umerudia kuswakia mswaki uliodondoka chooni kwa bahati mbaya?
Chaji simu haraka.[emoji23][emoji23][emoji23] inatamkwa hivi View attachment 1307177
Sent using Jamii Forums mobile app