Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

Hahaha! Daby bwana...Usichanganye mafile mie ni huyu huyu Pyaar mwenye ID hii hii. Sio wa zamani wala mpya.[emoji38] Uzi wako haunihusu kabisa.
Hapana nimekufananisha na mtu nje ya JF...ingekuwa wewe ndiye yeye angeweza kutambua L.K ni initial ya jina lake.

Nimeanza kuona Id yako siku kidogo...anatumia hili jina kila mahali.
 
Hapana nimekufananisha na mtu nje ya JF...ingekuwa wewe ndiye yeye angeweza kutambua L.K ni initial ya jina lake.

Nimeanza kuona Id yako siku kidogo...anatumia hili jina kila mahali.
Nimekupata mkuu.
 
kwani unachohofia kwa wakongwe ni nini kuprotect reputation au umekwisha wafyonza wote?
Utajiskiaje ukigundua umerudia kuswakia mswaki uliodondoka chooni kwa bahati mbaya?
 
Wanawake wazuri wanakuwa-ga na mashauzi bhana.

Haya inatamkwa Wehura? Au YUrura?
[emoji23][emoji23][emoji23] inatamkwa hivi
Screenshot_20191230-114748.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom