Una uhakika sijawwhi kukutongoza lhera?[emoji28][emoji28][emoji28] kweli lakini inatia mashaka unaweza kumtongoza mtu kwa mara ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza mpendwa eti wewe ni wa sasa au wa zilipendwa😄😄😄
Oooh sorry Daby nilisahau mpendwaNani alikuambia naitwa mkuu?
Na uhenga wangu huu hakuna atakaye weza kunitafuta.Shauri yako.... ukiona haufwatwi na vidume usilalamike.
Hujawahi japo siwakumbuki wote waliokuja PMUna uhakika sijawwhi kukutongoza lhera?
Nyerere mkuuNawe mhenga kumbe...wa zama zipi?
AiseeHa ha ha ha ha Mzee usiogope ukikuta ni yule yule unamwambia nilijua ni ww ndio maana nkaja
Umeamua kunicheka kabisaa jamani
Wewe sikiliza wakubwa tunapotoa ushauri.Yalikukuta mkuu?
Mvinyo mpya chupi la zamani
Jr[emoji769]
Usiwaje hizo fujo alifanya kabla mjaonana[emoji4]Umeamua kunicheka kabisaa jamani