Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?

Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.

Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.

swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
Mkuu unakwama wapi? Na ww njoo na ID yako mpya then nenda kazame PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?

Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.

Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.

swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
Ahahaaaaaa...! What do u mean mkuu Daby ?. Kwamba wale wa zamani umewapitia sana?. Sasa umewacheck wapya wako damsh kinoma unataka kuwatokea,lakini unaogopa usije ukawatokea tena yule yule mara ya pili?.
Feruz:- Nilishamsahau kama nimekutana nae kimwili. Nikamtongoza tena,tena kwa mara ya pili

Hapana mkuu...mbona unataka kunigombanisha na warembo.

Mie swali langu hawa ni wapya au ni wale wale wa zamani?
 
Back
Top Bottom