Mnavijua hivi vinywaji (shark,redbull na zanzi)?

Mnavijua hivi vinywaji (shark,redbull na zanzi)?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Mwenye kujua kazi ya hivi vinyaji afunguke hapa,

Kwa uelewa wangu ni vinatumika kuongeza nguvu za mwili na kufanya ujisikie fiti muda wote.Nazungumzia shark na redbull ,ila kwa zanzi najua inaongeza nyeg£ kwa kina dada.

Upande wa pili vinaongeza safari ya kwichikwichi.

Kwa upande wako wewe ni vp?
 
Naombeni mniambie kitu hapa, nilisikia kuwa ukinywa RedBull unakuwa na nguvu sana za kusex yaan unaweza kusex na demu mfululizo, ina maana bao la kwanza linatoka, unaendelea, ila bado sijathibitisha taarifa hiyo, je kwa wale waliokwisha test ni kweli?
 
Kuna watu walishapoteza maisha kwa ajili ya Red Bull. Kama una moyo mbovu na ukawa unajishindilia concentrated caffeine kama ile iliyomo kwenye Red Bull moyo unabidi ufanye kazi ya ziada na ni rahisi kupata BP. Mfakamiage mavinywaji haya kwa uangalifu!
 
Jaribu kwa matokeo utakayo yapata hakika utawapenda
 
Kuna watu walishapoteza maisha kwa ajili ya Red Bull. Kama una moyo mbovu na ukawa unajishindilia concentrated caffeine kama ile iliyomo kwenye Red Bull moyo unabidi ufanye kazi ya ziada na ni rahisi kupata BP. Mfakamiage mavinywaji haya kwa uangalifu!
Wanashauri unywe moja kwa masaa 4 na tatu kwa siku nzima usizidishe hapo
 
vinywaji vyenye kemikali huwa sipendelei kwa upande wangu...natamani sana niishi maisha kama waliyokuwa wanaishi mababu zetu lakin ndio haiwezekani kabisa...babu yangu hadi umauti unamfika alikuwa hapendi sana vinywaji vilivyosindikwa...hakupenda kabisa madawa ya hospitali nahisi hilo ndilo lililomfanya aishi maisha marefu.
 
Back
Top Bottom