Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab.Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko.
Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao.
Acheni unafiki wabantu na watu wa jamii za Asia ya kati na bara arab.Mkubali tu wazungu wametuzidi na tuwape kongole zao.
Kila kukicha mnakimbilia huko kama wamewaroga na uchawi wao wa kizungu.
Lakini mkishashiba kashata na kahawa na ugali na biriani mnaanza kupiga kelele kwenye platform za hao hao wazungu kua ni mabeberu.
Na mnajifunza lugha zao pia ili kurahisisha mawasiliano duniani.
Hakuna watu wanafiki na watu wenye husda kama wakazi wa bara la afrika na bara Asia ya kati na bara arab.
Badala ya kupambana kimikakati tunaishia ila siku kulalamika.
Ukiona binadamu anapenda kulalamika na kukosoa bila mantinki bas ujue huyo ana wivu na husda na chuki binafsi.
Tunashindwa mpaka na wakazi wa bara Hindi na mashariki ya mbali na wayahudi.
Kila siku tunaishia kulalamika na kukimbilia ulaya na marekani.
NB: NENDA ULAYA NA MAREKANI UONE VIJANA WA KIAFRIKA NAMAANISHA WABANTU NA KIAZERI NA KIAFGHAN NA KIARABU NIMETAJA KWA UCHACHE TU WANAVYOPATA SHIDA KUISHI HUKO.MFANO MZURI NI KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI ISIYO RASMI KWENYE MLANGO BAHARI WA UFARANSA NA UINGEREZA.
Sio kweli.. kwani wewe umekubali ushoga?..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi naona wanachochukia watu ni ushoga na ukoloni mambo leo
Nimezungumzia ulaya,,,,,,,na marekani.
Lakini kama umesafiri duniani nadhani utakua unajua ni jamii gani ushoga ulianzia na umeota mzizi.
Kuhudmsu ukoloni mambo leo nadhani hata wao wangwkua na means wangefanya the same ukoloni mambo leo ila wamekosa means.
 
Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab.

Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko.

Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao.

Acheni unafiki wabantu na watu wa jamii za Asia ya kati na bara arab.Mkubali tu wazungu wametuzidi na tuwape kongole zao.

Kila kukicha mnakimbilia huko kama wamewaroga na uchawi wao wa kizungu.

Lakini mkishashiba kashata na kahawa na ugali na biriani mnaanza kupiga kelele kwenye platform za hao hao wazungu kua ni mabeberu.

Na mnajifunza lugha zao pia ili kurahisisha mawasiliano duniani.

Hakuna watu wanafiki na watu wenye husda kama wakazi wa bara la afrika na bara Asia ya kati na bara arab.

Badala ya kupambana kimikakati tunaishia ila siku kulalamika.

Ukiona binadamu anapenda kulalamika na kukosoa bila mantinki bas ujue huyo ana wivu na husda na chuki binafsi.

Tunashindwa mpaka na wakazi wa bara Hindi na mashariki ya mbali na wayahudi.

Kila siku tunaishia kulalamika na kukimbilia ulaya na marekani.

NB: NENDA ULAYA NA MAREKANI UONE VIJANA WA KIAFRIKA NAMAANISHA WABANTU NA KIAZERI NA KIAFGHAN NA KIARABU NIMETAJA KWA UCHACHE TU WANAVYOPATA SHIDA KUISHI HUKO.

MFANO MZURI NI KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI ISIYO RASMI KWENYE MLANGO BAHARI WA UFARANSA NA UINGEREZA.
Binadamu tunaishi kwa kutegemeana Mungu ndo alivyo iumba dunia na hakuna atakaye weza kubadilisha.

Hao wazungu unao wasema na wao wanatumia tarakimu zilizo buniwa na waarabu yaani 0 to 9 kwenye elimu yao kama wangekuwa na akili nyingi wangebuni za kwao.

Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa kila jamii hapa duniani ina mchango wake kwenye ukuaji wa teknolojia na sio wazungu tu, ukienda kwenye makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani yana wataalamu kutoka jamii mchanganyiko duniani na sio wazungu tu.

Alafu hiyo hoja ya kusema sijui watu wanapenda kukimbilia Ulaya na Marekani mbona huwa ni hoja ya kipumbavu sana.

Kwani hakuna raia wa Marekani na Ulaya walioko kwenye nchi za watu wengine? Ya kwamba wao wana haki ya kwenda kuishi kwenye nchi za wengine ila sisi tukienda kwao tunaonekana tuna shida sana sio?

Hapa duniani kila binadamu ana haki ya kwenda sehemu yeyote kutokana na mahitaji yake la msingi afuate taratibu tu.

Hiyo dhana yenu ya kusema eti kila mtu hapa duniani anatamani kuishi Marekani ni dhana ya kipumbavu na kitumwa kwa sababu hapa duniani hakuna taifa lisilo kuwa na raia wa kigeni kwenye ardhi yake,

Mfano Tz ni nchi maskini ambayo haiwezi hata kuwahudumia raia wake lakini ina mamilioni ya raia wa kigeni wanao ishi hapa nchini wakiwemo hao raia wa Marekani na Ulaya.
 
Waarabu wamevumbua tarakimu tu? Ha ha ha ha
Kinachofuata hapo ni nini sasa?
 
Hao waarabu wamebuni tarakimu ambazo zinatumika kwenye mfumo wa elimu kote duniani, kwenye mabenki ,kwenye biashara

haya ww mrokole uchwara kutoka bara la giza kwa kutumia miujiza na damu ya bwana yesu umebuni nn? ebu tuambie.

Ww unazichukulia poa hizo tarakimu kwa sababu ww ni mpumbavu na elimu yako haijakusaidia.

Yaani unazichukulia poa tarakimu hali yakuwa umetumia zaidi ya miaka kumi na kitu shuleni kujifunza namna ya kuzitumia hizo tarakimu?

Ngoja nikuelimishe ,mfumo wote wa maisha ya kila binadamu hapa duniani wakiwemo ww na hao wazungu yako ndani ya hizo tarakimu.

Nandio maana sasa hivi upo unamlipia ada ya mamilioni mtoto wako ili afundishwe namna ya kizitumia.

Bila tarakimu kusingekuwa na fedha kwa sababu tarakimu ndo hukuonesha pesa ina thamani gani.
Bila tarakimu hakuna biashara kwa sababu tarakimu ndo hukujulisha thamani ya hiyo biashara ni kiasi gani.

Bila tarakimu wenda hata hiyo teknolojia usingekuwepo kwa sababu fomla zote za teknolojia zimebuniwa kwa tarakimu.

Bila tarakimu hata ww ulipo usinge kuwa unajua umri wako ni miaka mingapi.

Ww kama unaona ni rahisi waambie hao wazungu mnao sema wana akili wabuni za kwao tuone kama wataweza.
 
Umeongea vizuri mkuu na nimekuelewa ila sisi watu wa bara afrika na bara arab na asia ya kati tunaishi kwa unafiki wa kukataa kua binadamu tunaishi kwa kutegemeana.
Kila siku tunawalaumu hao tunaowaita Mabeberu na kujifanya hatuwapendi.
 
Waarabu wamevumbua tarakimu tu? Ha ha ha ha
Kinachofuata hapo ni nini sasa?
Waliovumbua tarakimu ni waajemi na wagiriki na waarabu wa mespotania na wachina na waerhiopia na wamisri wa kale na wanubi wa kale na wahindi wekundu pia.
Sasa binadamu tunatumia tarakimu zipi rasmi mkuu??
 
Sasa kama ameandika upumbavu asiambiwe?
Mkuu tatizo la waafrika wengi mmeshakuwa brain washed na dini na imani za kikoloni.
Mtu akiongea ukweli mnaleta mlengo flani wa kidini bila mantiki,na wasomi hatupo hivyo.
 
Naona wanawachukia waliofanikiwa sio Wazungu tuu kutwa utawaona wakiwakataa hapo hapo wanatumia Lugha yao kuonyesha wapo Tofauti na sisi wachimba chumvi...
 
Hao waarabu wamebuni tarakimu ambazo zinatumika kwenye mfumo wa elimu kote duniani, kwenye mabenki ,kwenye biashara

haya ww mrokole uchwara kutoka bara la giza kwa kutumia miujiza na damu ya bwana yesu umebuni nn? ebu tuambie.

Ww unazichukulia poa hizo tarakimu kwa sababu ww ni mpumbavu na elimu yako haijakusaidia.

Yaani unazichukulia poa tarakimu hali yakuwa umetumia zaidi ya miaka kumi na kitu shuleni kujifunza namna ya kuzitumia hizo tarakimu?

Ngoja nikuelimishe ,mfumo wote wa maisha ya kila binadamu hapa duniani wakiwemo ww na hao wazungu yako ndani ya hizo tarakimu.

Nandio maana sasa hivi upo unamlipia ada ya mamilioni mtoto wako ili afundishwe namna ya kizitumia.

Bila tarakimu kusingekuwa na fedha kwa sababu tarakimu ndo hukuonesha pesa ina thamani gani.
Bila tarakimu hakuna biashara kwa sababu tarakimu ndo hukujulisha thamani ya hiyo biashara ni kiasi gani.

Bila tarakimu wenda hata hiyo teknolojia usingekuwepo kwa sababu fomla zote za teknolojia zimebuniwa kwa tarakimu.

Bila tarakimu hata ww ulipo usinge kuwa unajua umri wako ni miaka mingapi.

Ww kama unaona ni rahisi waambie hao wazungu mnao sema wana akili wabuni za kwao tuone kama wataweza.
Mnajua mnajichanganya bila kujua,tarakimu zimebuniwa na jamii nyingi duniani.
Kuna waajemi wa iran ya leo,kuna wagiriki na kuna waturuki wa kale na kuna wachina na kuna wajapani na kuna wakorea na kuna wahindi na kuna watamil na kuna wazungu wa uitaliano na kuna wamsiri wa kale na kuna wanubi na kuna wahabeshi na kuna wathailand na kuna wahindi wekundu.
Na baadhi ya hizi tarakimu zinatumika duniani kama lugha na namba rasmi za nchi huska.
Sasa nyinyi mnakariri waarabu tu na tarakimu.
SWALI :: ni waarabu wa eneo gani walibuni hizo tarakimu mnazozibishania???
Jibuni kisomi afu niwasaidie ufafanuzi kisomi
 
Naona wanawachukia waliofanikiwa sio Wazungu tuu kutwa utawaona wakiwakataa hapo hapo wanatumia Lugha yao kuonyesha wapo Tofauti na sisi wachimba chumvi...
SASA MKUU NAKUELEWA....NADHANI JAMII ZA WAAFRIKA NA WATU WA BARA ARAB NA ASIA YA KATI WANA MFUMO WA KUTOPENDA MAFANIKIO YA WENZAO
 
sasa mbona unamu attack mwenzako? Kuwa muungwana basi
Jamaa analeta mlengo flani hivi kutaka kuchangia hoja na kakuta mimi msomi muelewa.
Kutukana na kutumia lugha za kitoto akitegemea negative reaction,ila kakuta wasomi tushavuka huko kwenye hoja za matusi na kejeli,bali tunaishi kwa fact na uchambuzi wenye uweledi bila kuegemea mrengo wowote ule kisiasa au kidini.
NB: Anasema nimeandika uchafu ila kachangia hoja na kutaka majadiliano
 
Back
Top Bottom