Chacha divah
Member
- Apr 10, 2020
- 6
- 4
Kwel kabisa Huwez kumjudge mtu kwa muonekano wake
Mi nawaona ni wakawaida tu,matendo ya mtu ndo hunipelekea kujua lakini ,vazi,eti kubadili nywele au vyovyote vile havinibadilishi hisia zangu kumuhisi ni mbaya au mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app