Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Jamani taratibu, sio vizuri kumwambia mtu hana akili kwa sababu tu ana mawazo tofauti na weweHuna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani taratibu, sio vizuri kumwambia mtu hana akili kwa sababu tu ana mawazo tofauti na weweHuna akili
Watoto wananoga kinomaa...
Acheni kuyafanya maisha kua magumuView attachment 1392811
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokuwa na akili sio tusi...na ulipaswa uangalie ni wazo gani alikuwa amelitoa.Jamani taratibu, sio vizuri kumwambia mtu hana akili kwa sababu tu ana mawazo tofauti na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Cutting master hao wapo vizuri sanaHuyo wa kwanza kapendeza sana, huwa sipati kinyozi wa kunipatia hivyo au kichwa changu kibaya[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakurupuka kuchangia, yeye amesema anawaogopa...it's not like kitu chochote negative kuwahusu hao watu, wewe ukiambiwa huna akili utaona mtu amekusifia?Kutokuwa na akili sio tusi...na ulipaswa uangalie ni wazo gani alikuwa amelitoa.
BTW no offence. A good day to you
Akikupa papuchi usiache kutumia CondomWenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
Let me save my energySijakurupuka kuchangia, yeye amesema anawaogopa...it's not like kitu chochote negative kuwahusu hao watu, wewe ukiambiwa huna akili utaona mtu amekusifia?
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀
Ila wewe na mawigi bana 😀Bora mwanamke mwenye ame bleach nywele kuliko anaevaa wig.
Bora anyoe upara kuliko kuvaa wig.
Mimi kati ya vyote, kujichubua aisee.. Hii kitu huwa naichukia kuliko neno lenyewe..Ni urembo tu wanajipendezesha mkuu. Kwa ajili yetu hawa walimbwende!!!
Mimi siwakubali wenye makucha bandia mareeefuuu yale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo makitu hayajawahi kunibariki hata kwa kuangalia tu. Fortunately hata kwenye familia yetu hakuna mwanamke anaetumia hiyo kitu. Ningekuwa nayaiba natia moto.Ila wewe na mawigi bana 😀
😀 😀 😀 😀 😀Mimi kati ya vyote, kujichubua aisee.. Hii kitu huwa naichukia kuliko neno lenyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nawaonaga wadangaji tu..huwa siwakubaligi Kabisa yanWenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
Ngoja ile siku tukienda Morombo nitakavyo vaa wigi. Utachagua kuvumilia au kunikimbiaHayo makitu hayajawahi kunibariki hata kwa kuangalia tu. Fortunately hata kwenye familia yetu hakuna mwanamke anaetumia hiyo kitu. Ningekuwa nayaiba natia moto.
Nakukana mara tatu kama Petro alivyomkana sir Jesus.Ngoja ile siku tukienda Morombo nitakavyo vaa wigi. Utachagua kuvumilia au kunikimbia