Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Ni malaya tu..nawachukia mno kwa mbali unaweza kusema kashuka kwenye gari la mbio za mwenge ikipita kwenye barabara ya vumbi..sijawahi kuwa nao na sintowai kbs kumsogelea. Ila wanawake sijui wanatafuta nini chini ya jua hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine wachukulie wanawake kama nazi nje ngumu sana na vinywele nyweli ila ndani nazi nyeupeee (tui ) na maji safiii na matamu.
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?

Na Wale wanavaa malapa (sandals) zenye manyoamanyoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana huo mtendo,kwangu una maana ya FREEDOM tatizo sasa inategemea na other aspects za muhusika
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
Hata mimi mwenyewe huwa nawaza hivo hivo sijui nikwa nini, Yaani huwa nahisi wanagawa sana naniliu zao
 
Watoto wananoga kinomaa...

Acheni kuyafanya maisha kua magumu
20200319_094535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
Unamaanisha Dina marios ni Malaya ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom