Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Dah kweli tunatofautiana mitazamo mm ndio nawaelewa sana sasa [emoji41] na mtindo wanywele haumaanishi kuwa mtu fulani ni baya ni fashion tu kilichopo hapo hakuna kitu kibaya mbona.
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
Wajue wanawake ambao usipotumia Condom inakula kwako
 
Breach plus pank na tubutu flani huwa napata hisia mchanganyiko positive na negative..... Mi mwanamke akishachora tatoo au kujichubua anakuwa disqualified.
 
Yani hao wenye viduku,bleach uwa nawashangaa Sana na kama nikiwaona uwa jogoo hata kushtuka hawezi.na ikitokea ukawapitia basi please vaa mpira maana usije kumfanya mwanao akudharau siku akizaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?

Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!

Nyie mwawachukuliaje?
mm napenda sana mkuu
 
Back
Top Bottom