mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madam rita,lulu,wolper ,jkly mengi,mange na wengineo mnaitwa huku chaaapWenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
Mkuu wewe wawachukuliaje hao nduguMadam rita,lulu,wolper ,jkly mengi,mange na wengineo mnaitwa huku chaaap
Sent using Jamii Forums mobile app
Resty fish bbq? Sidhani
Kuna salon nilienda nyoa, akaja jamaa na mkewe, akawa anamsubiria mkewe anyolewe nywele na kuweka hiyo kitu. sasa mleta mada sijui anasema nini kuhusiana na hilo.Nimeweka purple kichwani ni manjonjo tu mimi si muuza papa
Mkuu ulilosema ni kweli zamani msichana ilikuwa akionekana kavaa suruali alionekana kapinda, kahaba ila nashangaa wazazi wanaona kawaida tu mi nawaogopaga pia watu waliopaka breach mana wengi wao ni malaya lakini nahisi kwa sababu ni kitu kigeni tu tz ila kuna hadi wa maza wanapakaKwangu sio big deal... Nahisi hata zamani walipoanza kuvaa suruali kuna watu walikuwa na mtazamo kama wako... Lakini leo ni kawaida tu ... I bet hata hizo hairstyle itakuwa normal very soon.
Duh basi wa utakuwa umepinda zaidi purpleNimeweka purple kichwani ni manjonjo tu mimi si muuza papa
Yah ni kweli mkuu.... Ni kutokana hasa na hili jambo halijazoeleka kwetu lakini kwa wenzetu huko ni kawaida sana na hata ma men wengi wa huko hawalichukulii kama wengi wetu tunavyolichukulia huku.Mkuu ulilosema ni kweli zamani msichana ilikuwa akionekana kavaa suruali alionekana kapinda, kahaba ila nashangaa wazazi wanaona kawaida tu mi nawaogopaga pia watu waliopaka breach mana wengi wao ni malaya lakini nahisi kwa sababu ni kitu kigeni tu tz ila kuna hadi wa maza wanapaka
Mm mwanamke anayejifunika sana wale wa kiislam wale ndo wakuogopwa kama ukomaaaMkuu wewe wawachukuliaje hao ndugu
Dah aise mi naona wanapendeza sana yaani sana mkuu. Ni mtindo fulani umeshika kasi sana siku hizi ila kwa kweli mimi sijaona tatizo kabisa. Ila tunatofautiana so you have right to feel the way you feel about it mkuuWenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
Unaacha kupambana na umaskini wako unawaza kuwanyanyapaa wanawake wa kiislam, uwakalie mbali wao ndio walikunyima ile laki 5?Mm mwanamke anayejifunika sana wale wa kiislam wale ndo wakuogopwa kama ukomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app