Chacha divah
Member
- Apr 10, 2020
- 6
- 4
Mi nawaona ni wakawaida tu,matendo ya mtu ndo hunipelekea kujua lakini ,vazi,eti kubadili nywele au vyovyote vile havinibadilishi hisia zangu kumuhisi ni mbaya au mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
wa tatoo je?
Hatukatai ni fashion, lakini hiyo fashion imependwa sana na watu wa dizaini fulani hapa nchini,kuanzia hapo inachukua sura nyingine na kuwa kiashiri cha "pesa yako tu/ukinishawishi nakupa"Generalization at its best. Fashion tu mkuu

Hawana tofauti na wale wanoenda kuoga nywele wanaacha juu ya meza au kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukatai ni fashion, lakini hiyo fashion imependwa sana na watu wa dizaini fulani hapa nchini,kuanzia hapo inachukua sura nyingine na kuwa kiashiri cha "pesa yako tu/ukinishawishi nakupa"
Hata hawa wa humu wenye rangi wakiwa wawazi lazima watatoa evidence za one night stand,kuchepuka au kuliwa bahati mbaya baada ya kulewa.
Umesoma haraka sister, sijasema wote wenye bleach mko hivyo, ila hiyo fashion imependwa sana na wanawake fulani. Kwa mfano nikiuliza bleach inawekwa zaidi na kundi gani kati ya wanawake waliopinda na wastaarabu,unaona kundi lipi linaweka zaidi?Sidhani kama ni kweli, mimi niweka blich tena nimemix na purple ila sina hizo tabia ulizo zitaja sijawahi kunywa pombe hata kwa bahati mbaya, club sipajui na sijawahi kuliwa bahati mbaya. na nimeweka km fashion nyingine baada ya kuchoka kusuka nikaamua kubadili muonekano nikanyoa na kuweka rangi.
Msitujudge kihivyo jamani looh[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma haraka sister, sijasema wote wenye bleach mko hivyo, ila hiyo fashion imependwa sana na wanawake fulani. Kwa mfano nikiuliza bleach inawekwa zaidi na kundi gani kati ya wanawake waliopinda na wastaarabu,unaona kundi lipi linaweka zaidi?
Ni kama bangi inatumiwa zaidi na wastaarabu au watu wa hovyo Tanzania?Utakuta wa hovyo ni wengi kuliko wastaarabu.
Kukataa kuwa wanaoweka bleach hawajapinda ni dalili kuwa wewe nawe umepinda.kwa upande wangu mimi wastaarabu tusio na mambo mengi ndo tunaweka bleach, kwahiyo mtu akisema wengi ni waliopinda lazima ntakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee hili vip? Hivi wanaume huwa mnajionaje?Wenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
wengi wanaliwa tigoWenzangu hua mnawaonaje wasichachana/wanawake walioshevu labda kiduku/kisahani/Afro halafu wakaweka bleach kichwani?
Mimi nikiona mwanamke kaweka hivyo nina hakika huyo mtu hajitambui na hajakua, bado anatafuta identity ya maisha. Kiufupi hua naona ni mwanamke malaya (Sorry) maana mtu anayejiheshimu hawezi weka bleach.
Mwanamke aliyeweka rangi kichwani akae mita 500 kutoka usawa wa bahari (sehemu nilipo). Siwezi date na mtu wa namna hiyo!
Nyie mwawachukuliaje?
Kukataa kuwa wanaoweka bleach hawajapinda ni dalili kuwa wewe nawe umepinda.