FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: TAYARI LBL KIMEWALAMBA
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena. Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha...