Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umejiandaa kwa kejeli mkuu?
Hahahah..., basi unaona nyiiingi mwenyewe..Inamana wewe jamaa unaingiza laki sita kwa siku
Unamaanisha juzi tu kakupigia simu? Hivi haoni hizi nyuzi humu jf?Pia hawatofautiani na Qnet! Kuna jamaa yangu mmoja nilisomaga nae enzi hizo,sasa siku moja nlkuwa kwa ofisi nkawa nachat nae,akanambia ikifika jioni njoo morocco kuna ishu flan tupige hela me nikasema yes mambo si ndo hayo sasa[emoji23] [emoji23] ,nkaenda nkashangaa wanasalimiana good morning saa kumi na moja jioni,mara wakaanza kunambia walivokaririshwa me nkawaskiliza tu then nkasepa sijarudi tena,jamaa daily ananisumbua kwny simu umefikia wapi? We njoo na milioni 4 uingie kwny business! Dah nkahuzunika sana jamaa yangu ndo kashapotea tayari[emoji24] [emoji24] ,leo akanipigia simu kuniuliza maendeleo vipi nkamchana tu ukweli jembe huko sipo ni shimoni toka kimbia akaanza kukasirika,nkamwambia hata hivo we si una hela upo kwny hyo business hebu nrushie elfu kumi nikanywe hata balimi zangu kadhaa nipooze koo[emoji482] [emoji482] ,jamaa akajiuma uma pale ooh sina hela,wakati huo yupo stend anagombea daladala tu[emoji23] [emoji23] !!
Ila kwa kweli hawa watu wanakera hivi kweli usawa huu unambie nitoe 4M ili ninunue saa tu halafu ndo nijiunge kwenye biashara? Kwa mimi hapana aisee!!
Hahahah..., basi unaona nyiiingi mwenyewe..
Nahisi nlikuepo pia, wana saundi sijawahi ona kuna jamaa yangu yupo pale uhasibu chuoni hahahaa alinikomalia ila hakufanikiwaMimi walinikokota mpaka New Arusha........nilitukana mpaka basi......ubaya hawakwambii unaenda kusikiliza forever living.....wanakuelezaeleza tu bla bla mpaka ufike ndio unagundua......
Ndiyo hao hao Oriflame?Kuna mdada alinisumbua sana pale Arusha na hiyo oriflame sijui ya wa swedish?Mimi walinikokota mpaka New Arusha........nilitukana mpaka basi......ubaya hawakwambii unaenda kusikiliza forever living.....wanakuelezaeleza tu bla bla mpaka ufike ndio unagundua......
naskia ukifika tu yule aliekupeleka anapata point kuonqeza memba.Mimi walinikokota mpaka New Arusha........nilitukana mpaka basi......ubaya hawakwambii unaenda kusikiliza forever living.....wanakuelezaeleza tu bla bla mpaka ufike ndio unagundua......
"They are a nuisance" is correct.They are nuisance 4sure
Umtisha mkuukipindi fulani walikuwa wanazagaa pale peacock hotel milenium towers, basi utawakuta wamejaza makochi hata kahawa hawanunui na wanajidai wana hela, na suala jingine najiuliza, ushuhuda unatolewa na mtumiaji wa bidhaa au muuzaji!
Wote matapeliHuko kuna watu wanaopiga hela za maana na hakika wako ambao wanalizwa .Cha msingi Kwenye maisha epuka kuwa victim. Think big . Wakubali watu wanaokuja na ubunifu na kuchangamkia fursa .