FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nimepitia huu uzi nikawaza kama wewe..Huu Uzi ,ID nyingi hawapo tena, last activity ni miaka mingi sana!
Sijui wazima,au wamebadirisha ID?
😂Ukiwakuta wanaongea viingereza vyao na zile suti zao zilizopauka.
Eti ooh me nilikua nafanya kazi UN nikaacha.
Noma snNimepitia huu uzi nikawaza kama wewe..
Halafu siikujua kama ulijiunga zamani kiasi hicho, ulikuwa chekechea miaka hiyo?🤣Noma sn
Kitambo sn nikiwa kinda😂Halafu siikujua kama ulijiunga zamani kiasi hicho, ulikuwa chekechea miaka hiyo?🤣
Kipindi hiki pia nami nilikuwa active jf tena senior wa miaka 3Likud kumbe wewe mtu mzima..... Shikamoo aseeh kipindi hiko nipo form one
Kwani kati ya senior na jf expert nani mkubwa?Kipindi hiki pia nami nilikuwa active jf tena senior wa miaka 3