Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
 
mwambie nikipata wateja kama wewe watatu tu kwa siku basi naweza kufunga ofisi saa 7 nikalale nipumzishe kichwa
 
Mteja ameongea kitu anajisikia ni haki yake, kwanini hutaki kusikia challenge kutoka kwa mteja wako? Unless, ulimpa sababu za msingi za kutokuwa na free delivery.
Sina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshamba
Wewe ukienda kutafuta huduma ukaambiwa haipo utaanza tukana watu?
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.
 
Sina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshamba
Wewe ukienda kutafuta huduma ukaambiwa haipo utaanza tukana watu?
😀😀😃
Kwa kweli inaudhi.
Ila hata mimi mara kadhaa huwa nakasirika ikiwa sijapata huduma inayokidhi matakwa/ haja yangu, natukana rohoni. Jitahidini kurahisha huduma hata ikiwa kwa extra costs ili wateja turidhike ase.
 
Alinigombeza
Anataka free delivery kutoka temeke mpaka lugalo mzigo wa 70,000/= sijui mjeshi yule ….aliniaribia siku jana inagne hadi leo namuwaza
Hujaweka tangazo lolote mahali popote kwamba unafanya free delivery?
 
Pole ni kawaida kwenye harakati za kutafuta wateja ni kama watoto waelewe hivyo hutosumbuka na ili umteka vyema usimjibu vibaya furahi ama cheka kuna kipindi yeye mwenyewe atajirudi na atakuwa mteja wako wa nguvu na rafiki.
 
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.
Hili ni sahihi kabisa Mkuu, wafanyabiashara wengi wanazingua kinoma.
 
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.

Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
 
Back
Top Bottom