Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.
Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Naam. 👏