Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mtanzania anakuwa mpambe wake wa kumsaidia kukusumbua 🤣🤣🤣🤣Hahhaah aisee huyo mzambia dah ungekuwepo hapo alafu lazima waje wawili na mtanzania mmoja utashusha sample zotee
Utaongea kingereza chote
Mungu azidi kutubariki na anatubariki maana eeeh sio poa mapambano sio kitoto
Kuna dogo anakujaga nao ananiambia sister niwekee ya maji, tena akizoea usimkopeshe utajuta..!!
Mimi wateja wangu wengi wa jumla, wa kuchukua piece chache wanahesabika, namshukuru Mungu kwa hilo.