Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Hahhaah aisee huyo mzambia dah ungekuwepo hapo alafu lazima waje wawili na mtanzania mmoja utashusha sample zotee
Utaongea kingereza chote
Mungu azidi kutubariki na anatubariki maana eeeh sio poa mapambano sio kitoto
Mtanzania anakuwa mpambe wake wa kumsaidia kukusumbua 🤣🤣🤣🤣
Kuna dogo anakujaga nao ananiambia sister niwekee ya maji, tena akizoea usimkopeshe utajuta..!!

Mimi wateja wangu wengi wa jumla, wa kuchukua piece chache wanahesabika, namshukuru Mungu kwa hilo.
 
Kibongo bongo wateja Kuna hadhi flan tumejipa mpaka tunawazingua wenye biashara kwa sababu tu sisi ndo wanunuaji
 
Unawasikiliza tu usiwajibu chochote akimaliza unaendelea kumhudumia.

Hapo bado kuna ambao ukiwaambia walipie kabisa ndo umtumie mzigo wanakuambia tapeli yaani acha tu😥😥
The customer is always right….That is rule no.1
 
Hizi frame mpya za hapa Bomb2 stand kwa juu.. Inaanza Oryx gas inafika ya kwangu Karibu sana... Vijana wangu wako poa sana hutajutia[emoji173][emoji120]
Oooh kumbe ni hapo? Au ni kwa Gespo?
Ntakaribia hayo maeneo. [emoji8][emoji8]
 
Mtanzania anakuwa mpambe wake wa kumsaidia kukusumbua 🤣🤣🤣🤣
Kuna dogo anakujaga nao ananiambia sister niwekee ya maji, tena akizoea usimkopeshe utajuta..!!

Mimi wateja wangu wengi wa jumla, wa kuchukua piece chache wanahesabika, namshukuru Mungu kwa hilo.
Wateja wengi wa nje mwanzoni hawana shida ila wakishaanza kuzoea mazingira na wakawa added kwenye magroup ya kazi wanaanza uswahili na wao
 
Alinigombeza
Anataka free delivery kutoka temeke mpaka lugalo mzigo wa 70,000/= sijui mjeshi yule ….aliniaribia siku jana inagne hadi leo namuwaza
Una roho ndogo sana, vitu vingine unapotezea tu, maana yeye huko aliko hata hakuwazi!
 
Wateja wengi wa nje mwanzoni hawana shida ila wakishaanza kuzoea mazingira na wakawa added kwenye magroup ya kazi wanaanza uswahili na wao
Halafu wanaanza kufananisha bei za maduka mengine, ukimuelekeza mbishi. Kuna siku aliuziwa bidhaa na winga km ninayouza ila low quality wee alilia huku kanipigia video call nimsaidie kumtafuta aliyemuuzia…. Nikamwambia hiyo kazi hatufanyi ww uza kwa bei ya hasara, next time ukija uwe umejifunza..!!
Ss hivi hataki kusikia lolote kutoka kwa mawinga🤣🤣🤣🤣
 
Halafu wanaanza kufananisha bei za maduka mengine, ukimuelekeza mbishi. Kuna siku aliuziwa bidhaa km ninayouza ila low quality na winga wee alilia huku kanipigia video call nimsaidie kumtafuta aliyemuuzia…. Nikamwambia hiyo kazi hatufanyi ww uza kwa bei ya hasara, next time ukija uwe umejifunza..!!
Ss hivi hataki kusikia lolote kutoka kwa mawinga🤣🤣🤣🤣
Siku hz case za mawinga ni chache maana saiv watu wana access ya group la dukani kbs wanaona sample, kias na bei
 
Si ndo hapo sasa, yani alijiona mfalme kweli.....akipiga simu nikichelewa kupokea ananifokea yani unaeza dhani ndo faza hausi
Hawa wengi wanakuwaga wafanya kazi wa serikali wenye vyeo kidogo au watu flani hivi mabosi wao wamezoea kila kitu kuamrisha
 
Mimi kwny biashara yangu huwa sibembelezi mteja wala sikaribishi mteja
Biashara nzuri ni ile inayojiuza yenyewe
Mkuu hiyo biashara itakuwa uko peke yako hilo eneo😅, uzuri wa buz ili arudi mpokee vizuri mwelekeze bidhaa na bei

Ila kuna wale wajuaji huwa mimi narudi nyuma mpaka sitaki kuongea sana maana kila unachomwelekeza kwake anapokea negative

Mfano unamtajia bei laki 2 anakwambia mbona wenzio wanauza laki 1 , alafu anaitaka hataki kwenda kwa huyo wa laki1

Niliwahi Kutana na mteja alinitukana kwa sababu alitaka bidhaa anatoa hela Yani ipo chini ya mtaji ananiambia Yani una mambo ya ajabu Yani unakataa hela, nilimshangaa nikakaa kimya.
 
Nafanya biashara ambayo mteja lazima aje anunue tu
Kwanza nazingatia kumpa mteja kitu Quality halafu ukiwa mteja wangu kwa muda fulani nakuwa nampa ofa.

Pili. Simbembelezi mteja kwasabb ninawateja wangu maalumu ambao lazima wanunue bidhaa kwangu wawe na hela wasiwe na hela.

Tatu. Sitegemei mbongo aje anunue bidhaa kwangu.

Nne. Sifanyi delivery kwamteja yoyote .

Tano.ukija kununua mara ya kwanza kwangu lazima tu utakuja kununua tena

Sita. Mteja akiwa mgeni huwa namwambia mimi huwa sibembelezi mteja ukinizoeya utanielewa vzr na hutajutia kununua bidhaa kwangu.

Kazini kwangu muda wote nachezea simu wateja wageni huwa wananiambia nadharau sana lakini wakinizoeya wanasemaa ww ni mtu poa sana kweny biashara
 
Oooh kumbe ni hapo? Au ni kwa Gespo?
Ntakaribia hayo maeneo. [emoji8][emoji8]
Weew😳😳 Kumbe hadi crespo unamjua???.. Usije ukawa unanifahamu na mimi,, mama weeee🥺🤒😂😂
 
Wabongo ndio sijawahi kuwaelewa hawa wa niletee nikulipe, hiyo huduma nilifuta.. njoo dukani hutaki basi.
Kwakweli mtu kama hataki aje tu dukani, mambo ya kubembelezana sometimes yanakera basi tu yani
 
Ubaya wa hii biashara yangu tunaouza tupo katikati ya matajiriyaano wanaoweza kufunga mzigo mkubwa
Sasa wewe jichanganye uone
Hatupo wengi sana ila kuna matajiri wanafunga mzigo mkubwa ambao kushindana nao yabidi uwe na extra udambwi udambwi
Afu kingine aina hii ya biashara wateja wana magroup ambayo ni very common
Ukizinguana na mteja anaenda kukesema kwenye group la community watu 1000
Mimi pia nina group la watu 500 plus
Ukisemwa kwenye group moja habari inasambaa kama moto wa nyikani
Utajua ujui
Potelea pote ila mteja sio kunifokea dada masai siwezi kumvumilia , biashara ni ukarimu na kuwa na lugha nzuri ila mh eti anipelekeshe aisee sitaweza
 
Back
Top Bottom