Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Bolt mimi nipo ofisini nimpe bolt mzigo namjua mkuu? Tunafanya delivery na madereva tunaowafahamu lakini baadhi ya watu wasio waaminifu kumfikishia bidhaa ukashusha mzigo hela hujapokea ni hati hati, labda uwe unamjua
Mteja anaona bidhaa
Unampa bei
Una mpa lipa namba
Analipia ela ya mzigo tu
Una muomba loction yake
Una request bolt
Atalipia bolt nauli ikifika
Unless huduma iwe ina involve may be installation au sijajua nature ya biashara yako lazima atoke mtu ofsin
 
Basi na yeye akijivika ufalme kweli. Kuna watu ni shida sana Yani hela zao wanazitoa kwa uchungu utafikiri wewe hizo bidhaa umechukua/umeleta bure
Si ndo hapo sasa, yani alijiona mfalme kweli.....akipiga simu nikichelewa kupokea ananifokea yani unaeza dhani ndo faza hausi
 
Sina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshamba
Wewe ukienda kutafuta huduma ukaambiwa haipo utaanza tukana watu?
Yupo sahihi inaweza kuwa kweli ni mshamba anashangaa inakuaje uendelee kufanya biashara kizamani wakati unaweza kuiongezea thamani kama hiyo ya delivery.

Mie huwa nawaelewa sana wateja wanaokupa lugha ngumu, inakufanya ufikiri zaidi pengine kuna kitu yeye anaona lakini wewe huoni.
 
Kwakweli utafanya kuchoma mafuta/nauli kila siku alafu mzigo ukifika eti weka hapo twende nikatoe hela ATM ujue hamna mteja hapo. na ukimshtukia hupokei simu tena
Sema kama unajiweza kidogo nunua pikipiki mpe kijana awe anakusaidia kufanya delivery kwa wateja ambao hawako mbali sana.. Walau walipie nusu ya gharama, Uwe unajilia na hela ya boda pia ( ndege wawili kwa jiwe moja ).. Wateja wenyewe ndo hawa hawa hakuna kususa ni kupambana nao tu hivyohivyo hadi kieleweke
 
Huo mstari wa mwisho unamwambia mteja??
Eee haki ya nani mimi naogopa
Ndiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .
Sasa nikikumbuka hata mimi sikupenda kuwa mfanyabiashara ila ufinyu wa mshahara umenifikisha huku basi naamua potelea pote watakuja wateja wapya .
Note : Usiige hivi ikiwa mnaotoa huduma fulani ni wengi utaumia , mimi naringa maana najua aende ila atarudi maana mimi ndye mwenye huduma fulani 😀
 
Kuna watu wengine hasira zao kisa analipia chakula kwa hela zake
Ni stress za maisha yake anaona bora chakula kingekuwa bure tu 😄
 
Sahih kbsa mm sitaki kbsa dharau za kijinga nawatimuwaga na Wala sijali siwez dhalilishwa kisaa elf tano
Inakera neno la mwisho nilijisikia vibaya, nikaona biashara ife, nimefata hela anamtuma mtu "mpe pesa yake aondoke" nliumiaaaa afu bado pesa anajipangia yani kama ni elf kumi basi anasema mpe elf nane aondoke.....
 
Ndiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .
Sasa nikikumbuka hata mimi sikupenda kuwa mfanyabiashara ila ufinyu wa mshahara umenifikisha huku basi naamua potelea pote watakuja wateja wapya .
Note : Usiige hivi ikiwa mnaotoa huduma fulani ni wengi utaumia , mimi naringa maana najua aende ila atarudi maana mimi ndye mwenye huduma fulani 😀
Ubaya wa hii biashara yangu tunaouza tupo katikati ya matajiriyaano wanaoweza kufunga mzigo mkubwa
Sasa wewe jichanganye uone
Hatupo wengi sana ila kuna matajiri wanafunga mzigo mkubwa ambao kushindana nao yabidi uwe na extra udambwi udambwi
Afu kingine aina hii ya biashara wateja wana magroup ambayo ni very common
Ukizinguana na mteja anaenda kukesema kwenye group la community watu 1000
Mimi pia nina group la watu 500 plus
Ukisemwa kwenye group moja habari inasambaa kama moto wa nyikani
Utajua ujui
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Wapige mbata
 
Nilionganishwa na mkongo mmoja aiseee aiseee hizo sim za wasap sasa hizo clip hizo maswali
Ila wananunua mzigo wa kutosha
Na mmoja mzambia...mzmambia akija anataka wote mdeal nae tu regular costomers msideal nao
Bado naamini watanzania wateja wako vizuri sana
HUyo mkongo èeèe aisee wiki nzima mnaandaa order,ila mimi physically dukani alikuja mzambia mcongo anakuja baada ya eid

Am learning everyday ...na kama huna subira fanya retail busness utajifunza sana kuvumilia watu
Mkongo week mnaandikisha mzigo na bado atakwambia, mamaa ushikashirike hutaki makuta wewe tikisa wangu?? Kisa nna tako basi ananiita tikisa 🤣🤣🤣 yani wakongo jau sana.!!!
Mzambia kuna siku alinifanya nimeshusha sample zote mpk nikamwambia nimechoka 😂😂😂

Mzimbwabwe mteja hana shida ila anataka umshawishi sana ikiwezekana km ni nguo ujaribu aione 🤣🤣🤣🤣
Hizi pesa tunazipata kiugumu sana, imetufanya mpk tumekuwa waongeaji
 
Ndiyo namjibu mteja , bora nyie mnakutana na wateja wasomi walau huko mijini huku vijijini ni wakulima wengi na elimu hawana wanahitaji wakuendeshe .
Sasa nikikumbuka hata mimi sikupenda kuwa mfanyabiashara ila ufinyu wa mshahara umenifikisha huku basi naamua potelea pote watakuja wateja wapya .
Note : Usiige hivi ikiwa mnaotoa huduma fulani ni wengi utaumia , mimi naringa maana najua aende ila atarudi maana mimi ndye mwenye huduma fulani 😀
BInafsi nimeingia kwenye hii biashara na kuwa competitor sababu ya madhaifu ya waliotangulia moja wapo ikiwa ni hilo la dharau kwa wateja na kingine very high price
so nalinda sana nisije nikawa kama wao maana sisi tunabutua sehemu ya makosa yao
 
Unakuwa kiziwi na unakuwa unarudia kama operator wa voda bonyeza moja kupokea mkopo wa nipige tafu hivyoo unamsikiliza halafu unarudia yale maelezoo yakoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mie sitaki, nimecheka had mbavu zinaumaa.
Hutaki papaa [emoji833]? Wee huogopiii?
🤣🤣🤣🤣 papaa amejaa madolari tatizo anajichubua udugu… 😂😂😂

Halafu wakongo warefu jamani mpk unaogopa kumtazama
 
Mkongo week mnaandikisha mzigo na bado atakwambia, mamaa ushikashirike hutaki makuta wewe tikisa wangu?? Kisa nna tako basi ananiita tikisa 🤣🤣🤣 yani wakongo jau sana.!!!
Mzambia kuna siku alinifanya nimeshusha sample zote mpk nikamwambia nimechoka 😂😂😂

Mzimbwabwe mteja hana shida ila anataka umshawishi sana ikiwezekana km ni nguo ujaribu aione 🤣🤣🤣🤣
Hizi pesa tunazipata kiugumu sana, imetufanya mpk tumekuwa waongeaji
Hahhaah aisee huyo mzambia dah ungekuwepo hapo alafu lazima waje wawili na mtanzania mmoja utashusha sample zotee
Utaongea kingereza chote
Mungu azidi kutubariki na anatubariki maana eeeh sio poa mapambano sio kitoto
 
Kuna baadhi ni waaminifu, wale ambao nafahamiana nao naweza nikawatumia ndo walipie.. Ila wateja wapya asipotaka kulipia kabisa sikuizi namwambia tu Asante Karibu tena,.Nishawachoka😥
Wabongo ndio sijawahi kuwaelewa hawa wa niletee nikulipe, hiyo huduma nilifuta.. njoo dukani hutaki basi.
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Jifunze networking skills, tuanze hapa, rule no 1 a customer is always right, rule no.2 sometimes a customers is wrong, the question is if a customer is wrong what do u do
 
Back
Top Bottom