Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kweli? Sitaki fix mie hapa.
🤣🤣🤣🤣 kweli sio fix, nilipata mume mkongo anataka kunioa ila kakolea kikopo cha carolight huyo balaaa😂😂😂

Nikasema papaa taratibu hiyo rangi hapana 🤣🤣🤣
 
Unawasikiliza tu usiwajibu chochote akimaliza unaendelea kumhudumia.

Hapo bado kuna ambao ukiwaambia walipie kabisa ndo umtumie mzigo wanakuambia tapeli yaani acha tu😥😥
Umenikumbusha hizi issue za delivery alafu ndio alipie nimekoswa mara ya tatu , sirudii tena saivi mtu akitaka delivery alipe tu nampelekea hataki aje ofisini
 
Mimi nawaelekeza kwa vijana wamalizane nao aiseee!!! 🤣🤣🤣🤣

Kuna mmoja alinichana siku hizi husikilizi wateja unajali pesa tyuu na kujipost mwenyewe status, hilo lilinitongoza nikalikataa likaona liseme hivo..!!

Sasa usiombe ukutane na wamama wa kikongo woiiiih utachora chini 🤣🤣🤣🤣
Wale watu ni wateja ila ni wasumbufu sijaona
Nilionganishwa na mkongo mmoja aiseee aiseee hizo sim za wasap sasa hizo clip hizo maswali
Ila wananunua mzigo wa kutosha
Na mmoja mzambia...mzmambia akija anataka wote mdeal nae tu regular costomers msideal nao
Bado naamini watanzania wateja wako vizuri sana
HUyo mkongo èeèe aisee wiki nzima mnaandaa order,ila mimi physically dukani alikuja mzambia mcongo anakuja baada ya eid

Am learning everyday ...na kama huna subira fanya retail busness utajifunza sana kuvumilia watu
 
Emotional intelligence is everything

Nikubalance hisia zako na kumsikiliza in deep

Mara nyingi MTU anapokuwakia anakuwa something wrong to her or him and not you hivyo anakuwa Ana-deal na emotions zake hivyo kumjibu vibaya ni kuongeza tatizo zaidi.

in business department kuwa a willing listener is key as to make a good consistence in ur business.

Dont take ur eyes off the prize and keep chasing money .
 
Umenikumbusha hizi issue za delivery alafu ndio alipie nimekoswa mara ya tatu , sirudii tena saivi mtu akitaka delivery alipe tu nampelekea hataki aje ofisini
Tumia bolt kama unawaswas na mteja mwambie alioie kwanza alafu urequest
 
Emotional intelligence is everything

Nikubalance hisia zako na kumsikiliza in deep

Mara nyingi MTU anapokuwakia anakuwa something wrong to her or him and not you hivyo anakuwa Ana-deal na emotions zake hivyo kumjibu vibaya ni kuongeza tatizo zaidi.

In in business department kuwa a willing listener is key as to make good consistence in ur business.

Put ur eyes off the prize and keep chasing money .
Thank you dear
Najifunza kila siku
 
Umenikumbusha hizi issue za delivery alafu ndio alipie nimekoswa mara ya tatu , sirudii tena saivi mtu akitaka delivery alipe tu nampelekea hataki aje ofisini
Kuna baadhi ni waaminifu, wale ambao nafahamiana nao naweza nikawatumia ndo walipie.. Ila wateja wapya asipotaka kulipia kabisa sikuizi namwambia tu Asante Karibu tena,.Nishawachoka😥
 
Wateja wa kibongo ukitaka wasikuletee mapozi wauzie bei za Kitonga, Hapo hata uwape huduma mbovu watajazana tuu
Tunavunja bei sana ila bado kuna vichomi
 
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.

Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s

Basi na yeye akijivika ufalme kweli. Kuna watu ni shida sana Yani hela zao wanazitoa kwa uchungu utafikiri wewe hizo bidhaa umechukua/umeleta bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli sio fix, nilipata mume mkongo anataka kunioa ila kakolea kikopo cha carolight huyo balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Nikasema papaa taratibu hiyo rangi hapana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mie sitaki, nimecheka had mbavu zinaumaa.
Hutaki papaa [emoji833]? Wee huogopiii?
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Aise juzi mm nilimfukuza na kugoma kumuhudumia mteja na kile kitu nilikuwa nacho tu vingenvyo aendee mjini kukitafua aliniudhi Sana [emoji38]

Nikasema sitaki uzalilishaji o kweny biasha yangu na Wala sijakuita hapa alichukiaa akijifanya ananiamrisha nikammuambia mkuu naona una gari shika njia nenda. Mjin kakifate usinilitee dharau

Kaondoka kaenda kutuma mtu kukijia kile kifaa

Jus nikamuona paska akafurahi mwenyee na nilikuwa Niko tungi
 
Alinigombeza
Anataka free delivery kutoka temeke mpaka lugalo mzigo wa 70,000/= sijui mjeshi yule ….aliniaribia siku jana inagne hadi leo namuwaza
Yan maisha yana upuuzi huu,
Mtu anaweza kukwambia kitu cha kipuuzi tu ila kikakaa balaa kichwani
 
Tumia bolt kama unawaswas na mteja mwambie alioie kwanza alafu urequest
Bolt mimi nipo ofisini nimpe bolt mzigo namjua mkuu? Tunafanya delivery na madereva tunaowafahamu lakini baadhi ya watu wasio waaminifu kumfikishia bidhaa ukashusha mzigo hela hujapokea ni hati hati, labda uwe unamjua
 
[emoji178][emoji178]
Duka lako liko sehem gan hapa mjini? Nkutembelee cku 1.
Hizi frame mpya za hapa Bomb2 stand kwa juu.. Inaanza Oryx gas inafika ya kwangu Karibu sana... Vijana wangu wako poa sana hutajutia❤🙏
 
Yan maisha yana upuuzi huu,
Mtu anaweza kukwambia kitu cha kipuuzi tu ila kikakaa balaa kichwanisahiho
Sahih
aLisema unafanya biashara kishamba sana wewe
Wakati nampa maelezo kwamba kwanini sina huduma ya free delivery akanikatia sim
 
Alinigombeza
Anataka free delivery kutoka temeke mpaka lugalo mzigo wa 70,000/= sijui mjeshi yule ….aliniaribia siku jana inagne hadi leo namuwaza
mtani..kuwa na delivery service haiepukiki. lakini zingatia hide delivery cost kwenye bei ya huduma au mzigo ndiyo hiyo tunaita free delivery.
 
Kuna baadhi ni waaminifu, wale ambao nafahamiana nao naweza nikawatumia ndo walipie.. Ila wateja wapya asipotaka kulipia kabisa sikuizi namwambia tu Asante Karibu tena,.Nishawachoka😥
Kwakweli utafanya kuchoma mafuta/nauli kila siku alafu mzigo ukifika eti weka hapo twende nikatoe hela ATM ujue hamna mteja hapo. na ukimshtukia hupokei simu tena
 
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.

Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Sahih kbsa mm sitaki kbsa dharau za kijinga nawatimuwaga na Wala sijali siwez dhalilishwa kisaa elf tano
 
Back
Top Bottom