Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mteja mfalme is over ratedKuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.
Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Fanya biashara acha kuwapiga majungu wateja zako waache na maisha yaoMteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Ķabisa bablaiPole ni kawaida kwenye harakati za kutafuta wateja ni kama watoto waelewe hivyo hutosumbuka na ili umteka vyema usimjibu vibaya furahi ama cheka kuna kipindi yeye mwenyewe atajirudi na atakuwa mteja wako wa nguvu na rafiki.
wapotezee tu wateja wa hivyo usijali sana kuhusu makwazo yao, wape huduma stahiki iliyo ndani ya uwezo na utaratibu wako.Sijawahi kugombana na mteja direct ila kimoyoni nakua nisha mcurse sana
Sijaongelea maisha yake hapoFanya biashara acha kuwapiga majungu wateja zako waache na maisha yao
mpe nafasi aongee na kutukana mpaka atosheke, na bilashaka yoyote utakua umempa relief na umemponya vitu fulani vilivyo kua vimemjaa moyoni, japo anaweza kua amekupotezea muda wako lakini pia kuna faida na Baraka za Mungu utazichuma pia...Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Unajua nini yule jamaa nimemuwazia mke wakewapotezee tu wateja wa hivyo usijali sana kuhusu makwazo yao, wape huduma stahiki iliyo ndani ya uwezo na utaratibu wako.
Kuna watu kutoa hela hata kwa jambo la msingi huwa inawauma sana ndio maana wengine hutokwa na maneno makali.
Yeye ameona wapi bidhaa zako? Huko alikoona uandike delivery ni juu ya gharama za mteja ili akitaka bidhaa ajue hivyo.Nakuelewa boss
Nina boda wa kazi ya delivery pia mteja aki opt bolt narequest analipia kwanza.
The thing is FREE DELIVERY
yaan mteja hakupenda huduma ya kulipia nauli
Wallah tena, alikua ananiboa, muda wa kutoa oda mpole fata hela sasa maneno yanamtoka mpemba yule na bichwa lake flat screen😏😏😏....aendelee kuja tu kwa kujificha hivyo hivyo.Mteja mfalme is over rated
Napenda sana pesampe nafasi aongee na kutukana mpaka atosheke, na bilashaka yoyote utakua umempa relief na umemponya vitu fulani vilivyo kua vimemjaa moyoni, japo anaweza kua amekupotezea muda wako lakini pia kuna faida na Baraka za Mungu utazichuma pia...
Muhimu ni kuzingati kukeep na kumaintain standards, vigezo na masharti vya kazi yako na mteja anatimiza bila mbambamba 🐒
Basi huyo mteja itakuwa alikuwa kavurugwa tuHapana dear
Sahihi mkuuYeye ameona wapi bidhaa zako? Huko alikoona uandike delivery ni juu ya gharama za mteja ili akitaka bidhaa ajue hivyo.
Huwezi kuweka gharama sahihi siku zote, ukiweka elfu kumi kumbe mteja anakaa bagamoyo au kibiti itakuwaje.
Tumetofautiana mkuu, ukilielewa hilo hautopata tabu kamwe.Unajua nini yule jamaa nimemuwazia mke wake
Mke wake atakua na taabu sana .
Yaani anaonekana kwa maneno ya sim tu ana dharau sana
Ukorof wake ndo maisha yake binafs Mkuu,Sijaongelea maisha yake hapo
Nimeongea ukorofi wake
Alikua mkali sanaBasi huyo mteja itakuwa alikuwa kavurugwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kweli? Sitaki fix mie hapa.Mimi nawaelekeza kwa vijana wamalizane nao aiseee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja alinichana siku hizi husikilizi wateja unajali pesa tyuu na kujipost mwenyewe status, hilo lilinitongoza nikalikataa likaona liseme hivo..!!
Sasa usiombe ukutane na wamama wa kikongo woiiiih utachora chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale watu ni wateja ila ni wasumbufu sijaona
Sawa mkuuUkorof wake ndo maisha yake binafs Mkuu,