Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mimi nawachekaga tu mpaka wanaondoka wenyewe bila huduma.

Maana hauwezekani ufosi huduma ambayo sina na bado ufosi nikupunguzie bei wakati siku hiyo sijisikii basi nitawacheka sana na ili akome kunisumbua naishiaga kuwaambia nyie hamna hela ni masikini tu mmekuja kunipunguzia stress zenu .
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Kama hiyo biashara ni ya kwako, ajiri mtu wa kuhandle wateja! Customer relationships/Customer care/Customer support, n.k ni taaluma!
 
Mimi nawachekaga tu mpaka wanaondoka wenyewe bila huduma.

Maana hauwezekani ufosi huduma ambayo sina na bado ufosi nikupunguzie bei wakati siku hiyo sijisikii basi nitawacheka sana na ili akome kunisumbua naishiaga kuwaambia nyie hamna hela ni masikini tu mmekuja kunipunguzia stress zenu .
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.
 
Kuna mzee mmoja tajiri mfanya biashara wa malori aliwahi niambia hivi baada ya kuona mteja ananirushia matusi baada ya kumhudumia (alikuwa ni mjeda kalewa) nanukuu

"kijana kama anakulipa acha atukane awezavyo ila hakikisha anakupa fedha za huduma aliyoihitaji, jali maslahi yako kwenye hizi biashara tunapitia maudhi mengi ila tunavumilia kwa sababu ya kujali maslahi."
 
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.
Lazima uchekechwe
 
Misingi yako kwenye biashara yako ndiyo kitu cha msingi ila wateja pia wawekee standards ambazo hazitawaumiza.
Nauza bei za kawaida sana,naagiza moja kwa moja china na bei nimevunja kweli kweli,lakini si unajua tena wateja wako tofauti
 
M sina uvumilivu huo huwa ukinichemsha nakuwa na hasira za karibu
 
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.
Wlorld wide free delivery bidhaa bei huwa juu sana means wameweka humo nauli katika bei
Ila sasa kibongo bongo nakusihi kabisa usiweke free delivery tushajaribu na tumeshindwa
Ni a whole topic
Imagne bidhaa bei ni 15000 mteja yupo kimara wewe upo k.koo anahitaji bidhaa free delivery inakuaje hapo
Hata mitambo ambayo katika mzigo mmoja faida hadi mamilioni lazima ulipie shiping feee
Habari ya free delivery itakufanya uuze bidhaa bei ya juu ambako utawapoteza wateja walioko karibu ambao pia wanaweza fika dukani
Imagne uuze sufuria set 120000 free delivery badala ya 90,000 delivery juu ya mteja
Wateja wata opt kuja dukani kwa nauli ya 800 kutoka kimara kwa mwendo kasi aje abebe bidhaa yake
Habari ya free delivery ni mbaya wala usiifikirie
 
Nauza bei za kawaida sana,naagiza moja kwa moja china na bei nimevunja kweli kweli,lakini si unajua tena wateja wako tofauti
Huwezi ridhisha kila mteja.

Ukitaka kufanya hivyo basi utakuwa unafanya biashara kichaa.

Kama umeamua ku offer service fulani basi hakikisha hakuna upande utaumia.
 
Na je, ungekuwa customer care wa TANESCO..?
Niliwahi fanya miaka flani, mbaya zaidi hiyo wilaya ilikuwa ina changamoto kubwa mno ya umeme..

Kwa matusi na hekaheka nilizokula, sijui nini kitanishtua tena..!!🙌
Kuna sehem nilikua nasoma hints za biashara kwenye coments watu wanasema ukitaka kujua watu ni wa ajabu fanya kwenye hiz kfc,mcdonals and the like mteja anakuja anataka cheeseburger without cheese........like wtf do you want???
katika coments watu wengi walizitaja hizo huduma kwa wateja kwamba binadamu wengi ni wakorofi
 
Huwezi ridhisha kila mteja.

Ukitaka kufanya hivyo basi utakuwa unafanya biashara kichaa.

Kama umeamua ku offer service fulani basi hakikisha hakuna upande utaumia.
Sure mimi msingi wangu ni jumla kuanzia pis moja
 
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia
Hiyo ndiyo siko tayari ni bora nisiuze ila sio mteja aanze naye kunidalalia
 
Back
Top Bottom