masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #101
Mteja anaona bidhaaBolt mimi nipo ofisini nimpe bolt mzigo namjua mkuu? Tunafanya delivery na madereva tunaowafahamu lakini baadhi ya watu wasio waaminifu kumfikishia bidhaa ukashusha mzigo hela hujapokea ni hati hati, labda uwe unamjua
Unampa bei
Una mpa lipa namba
Analipia ela ya mzigo tu
Una muomba loction yake
Una request bolt
Atalipia bolt nauli ikifika
Unless huduma iwe ina involve may be installation au sijajua nature ya biashara yako lazima atoke mtu ofsin