masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nimevumilia ndo hata sijaongea leo wakati wanafata mzigobiashara ni uvumilivu mkuu
mwambie nikipata wateja kama wewe watatu tu kwa siku basi naweza kufunga ofisi saa 7 nikalale nipumzishe kichwaMteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Sina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshambaMteja ameongea kitu anajisikia ni haki yake, kwanini hutaki kusikia challenge kutoka kwa mteja wako? Unless, ulimpa sababu za msingi za kutokuwa na free delivery.
hapo sawaNimevumilia ndo hata sijaongea leo wakati wanafata mzigo
Alinigombezamwambie nikipata wateja kama wewe watatu tu kwa siku basi naweza kufunga ofisi saa 7 nikalale nipumzishe kichwa
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
πππSina huduma hiyo dear na hata kama ningekua nayo bado mteja hana sababu ya kunigombeza na kuniita mshamba
Wewe ukienda kutafuta huduma ukaambiwa haipo utaanza tukana watu?
Hujaweka tangazo lolote mahali popote kwamba unafanya free delivery?Alinigombeza
Anataka free delivery kutoka temeke mpaka lugalo mzigo wa 70,000/= sijui mjeshi yule β¦.aliniaribia siku jana inagne hadi leo namuwaza
Hili ni sahihi kabisa Mkuu, wafanyabiashara wengi wanazingua kinoma.Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.