Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.
Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
formula ya biashara zote mkuu ndivyo wateja walivyo baadhi. Kuna mtu anapotoa hela yake kukupa humuuma sana japo anakuwa ananunua ama kupata huduma ya bidhaa itayomsaidia ila ndio hivyo hatuko sawa katika kuumbwa kwetu.Hii ni biashara gani? Ya Ice Cream ama pipi?
Sijasema uvunje bei bali uza kitonga, Mfano bidhaa ambayo common mtu ataipata kwa 400,000+ popote atakapoenda sasa utokee wewe unaiuza kwa 100,000Tunavunja bei sana ila bado kuna vichomi
Ni kweli hatuko Sawa katika kuumbwa kwetu lakini hii haina maana ya kujipa umuhimu hata pasipo hitajiwa umuhimu huo.formula ya biashara zote mkuu ndivyo wateja walivyo baadhi. Kuna mtu anapotoa hela yake kukupa humuuma sana japo anakuwa ananunua ama kupata huduma ya bidhaa itayomsaidia ila ndio hivyo hatuko sawa katika kuumbwa kwetu.