Mnawapendea nini kuku wa KFC?

Mnawapendea nini kuku wa KFC?

Umenikbusha kuna Jamaa yangu alinunua nyama ya [emoji241] sehemu fulan akamaindi sana akasusa hata kuila kisa eti yeye amezoea kula ambayo haijakaushwa sana yaan ile damu damu ndio anayoipendelea sana yaan hapendi ikaushweeee wala hapendi mafuta hata ikichomwa isikaushwe sana

Kwa hio kila mtu ana mapendeleo na machaguo yake

Mkumbushe kuwa isipoiva vizuri kuna uwezekano mkubwa wa kupata pork worm ni hatari
 
Kuku wa KFC kuna siku watamu kuna siku kawaida, labda ulienda siku ambayo hawako poa. Nilikula MARRY BROWN pale mliman city nikaona kuku wabaya sana, mpaka leo sielewi wale watu wanaojaa pale wanatafuta nini na kuacha kwenda KFC. Nadhan ndio scenario kama yako ilinikuta.
Duh ss mbn hmna consistence
 
Umenikbusha kuna Jamaa yangu alinunua nyama ya 🐖 sehemu fulan akamaindi sana akasusa hata kuila kisa eti yeye amezoea kula ambayo haijakaushwa sana yaan ile damu damu ndio anayoipendelea sana yaan hapendi ikaushweeee wala hapendi mafuta hata ikichomwa isikaushwe sana

Kwa hio kila mtu ana mapendeleo na machaguo yake
Kaa naye mbali.Ana kila tabia za cannibal.Utakuja kunyonywa damu.
 
Kila kitu kina mtu/watu wake. Ingekuwa mbaya hivyo kama wachache hapa mnavyojaribu kuonesha KFC isingekuwa hapa ilipo.
 
Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikua dissapointed mno, ile hype yote nliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu.

Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au mnasemaje wadau ambao mshawai kula hii kitu?
Ambao hatujawahi kula tuna comment wap
 
Halafu wengine wanaoenda kfc nawaonaga ni washamba tuu wala sio maisha yao,unakuta kadada kame mdanga mhuni ili kaende kfc hakana hata hela yake..

Ishini maisha yenu bhana,kama hadhi yako ni kuenda kununua miguu ya kuku enda tuu,sio unafosi ili mradi uzame kfc uonekane nawewe ni wa matawi kidogo.

Sometimes napitaga pale afu nawachora tu maslay queen na mabishoo.
 
Tundu Ni lake,acha lisulubiwe.Liliumbwa kwa ajili hio mkuu.
 
Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikua dissapointed mno, ile hype yote niliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu.

Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au mnasemaje wadau ambao mshawahi kula hii kitu?
Nawew unapendea nn dagaa
 
Back
Top Bottom