Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

Screenshot_20240429-144713.png
 
Kuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu
 
Kama unataka stress tafuta mapenzi ya kweli.
Hakuna upendo hao unaowaona wana enjoy mchana usiku wanalia sababu ya kuishi maisha ya kuigiza. Ishi maisha bila kutarajia mapenzi ya kweli, akikupenda mpende asipokupenda mwache aende.
 
Hakuna yapo ya kuigiziana nilichogundua ukitaka uenjoy kuwa na mtu anaekupenda jilazimishe tu utampenda mbele kwa mbele

Mimi mpk sasa nimeshachoka kila napogusa pameoza ngoja tu nikubali kupendwa nising’ang’ane na kupendana hakupo
 
Kuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu
😂
 
Back
Top Bottom