Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
Mkuu wapo wengi saaana wenye mapenzi ya kweli. Labda tukuoneshe wadada wenye big brain and well composed alafu Wana true love mmoja wapo ni ephen_
 
Kuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu
Hahaha
 
Back
Top Bottom