Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

Kuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu
 
Kama unataka stress tafuta mapenzi ya kweli.
Hakuna upendo hao unaowaona wana enjoy mchana usiku wanalia sababu ya kuishi maisha ya kuigiza. Ishi maisha bila kutarajia mapenzi ya kweli, akikupenda mpende asipokupenda mwache aende.
 
Huyu nilienae sasahivi anyone ya kweli na mimi nimejupana hasa kushilia nganganga yaani hapa sikubali penzi life kizembe tu walahi target yangu ya kwanza nijaze upepo kwanza soko la mahusiano gumu hata sitaki kusumbuka tena
 
Hakuna yapo ya kuigiziana nilichogundua ukitaka uenjoy kuwa na mtu anaekupenda jilazimishe tu utampenda mbele kwa mbele

Mimi mpk sasa nimeshachoka kila napogusa pameoza ngoja tu nikubali kupendwa nising’ang’ane na kupendana hakupo
 
Kuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…