Mnaweza kunitajia vitu vilivyotengenezwa Tanzania

Mnaweza kunitajia vitu vilivyotengenezwa Tanzania

Umesema Plastic na Majembe, pia kuna special kategori; MASHUJAA WA MTANDAONI na WAPINZANI WA TWITTER.

Tuendelee
3. CCM
4. Kachori
5. Ng'ombe na chawa wa mama
6. Wasiojulikana
7. Walamba asali
8. Chipsi zege
9. Mbege
10. Mkongo
11. Singeli
12. Mshahara kwa wenza wa viongozi
13. Ulinzi kwa watoto wa viongozi
14. Adhabu ya kuhamishwa baada ya kukwapua
15. Ya 5 kuwa ya 6
16. Zisizo za muungano kuwa na wageni
17. Pande la ardhi kupigwa mande, mkwe na kaka
18. Academicians kuwa punguani
19. Wazawa kutimuliwa
20.
21.
22.
23.

Tuendelee
 
1. Cement karibu zote made in Tanzania tena Tanga.

2. Mafuta,manukato, vipodozi made by Tanga Pharmaceuticals

3. Vinywaji hasa carbonated drinks, energy drinks, beer, gongo na ndugu zao.

4. Dawa za meno by Chemi & cotex, sabuni, chumvi, sukari.

5. Chai(CHAI LEO), Kahawa, Nguo vitenge vya Mwatex na textile zingine.
 
Mkuu Kuna vitu vinaitwa ingredients mfano Coca-Cola Kuna viwanda Dar , Moshi na Mwanza huku ni kuvichangana na maji tu na kupark..

Kivingine tunamalizia finishing mfano Guta zinakuja kwenye mabox sisi ni kuunganisha tu kwa kusoma manual
 
ni kweli lakini nilivyovitaja vingi raw materials ni hapa hapa bongo.
 
20250114_221445.jpg
Mkuu Tztunatengeneza kanga!
 
Consumer goods zipo hasa hizi za kula na kujipaka japo zenyewe hata soko la ndani hazitoshi kihivyo, kwenye upande wa electronics Bado sana tena sana tu. Tatizo kubwa ni kwenye Capital goods hapa ndipo hutofautisha kati ya binadamu mwenye akili za ngiri na binadamu halisi.
 
Maviwandaa makubwaa ka lile la a to z linatengeneza vyandarua na vikombe jamani hii nchi imeshindwa kutengeneza hata baiskel hata element za pikipiki vijana wetu wanakufa ovyo
 
Mapenzi made in tanga,ushamba_usukumani,BAKORA-arusha wazee wa kupandisha mori
 
Back
Top Bottom