Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mimba.
Havina viwango vya sabuni za nje kama omo, Ariel, jamaa na White wash.Kwanini visabunisabuni 😂😂?
Daaah kweli halali viitwe visabunisabuni 🤣Havina viwango vya sabuni za nje kama omo, Ariel, jamaa na White wash.
Yani ukichukua nice one au cleensoft ya tz haiwezi kushindana na omo& Ariel ya Kenya 🤣
😂😂 eti tutengeneze drone za kupulizia madawa mashambani ili iweje hivi vitu ndo tunavitaka ubunifuView attachment 3325553Mkuu Tztunatengeneza kanga!
Nisamehe madam 😄Daaah kweli halali viitwe visabunisabuni 🤣
Kwa sababu gani? 😅Nisamehe madam 😄
Makatambuga na sandal za WamasaiMade in tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono
Naona hujapenda neno nililotumiaKwa sababu gani? 😅
Walaa limenifanya nicheke tuNaona hujapenda neno nililotumia
WeweMade in tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono
Asee nimejaribu ku- jumble haya maneno ili nipate maana tofauti ila waapi kila mpangilio unaleta nyege tu 😁🙌View attachment 3325553Mkuu Tztunatengeneza kanga!
Tanzania Sasa hivi ina karibia kubalance Trade, Tunauza vitu vingi almost kama tunavyonunua toka nje. Hii baadhi ya mifano, nitaja mingi ambayo ipo Circle yangu.Made in tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono