AlphaMale_
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 182
- 455
Hapo ni shida tupuuuHello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Jaribu kuongea na mwenye nyumba umwambie hili jambo , Una we za mwambia kuwa sisi hatumzuii kufungulia mziki mkubwa au sauti ya juu Ila atazame mazingira yetu tunayoishi ikiwa sote tumetoka Ila yupo peke Yake basi hilo sip tatizo.Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
yan kama unamuonaga vili hizo nyimbo zinapigwa zinaisha anarudia tena huwa nawaza kuambia ni hachoki au hana cha kuwaza au laa hizo singeli za matusi ndio usisemeHuyo jirani lazima atakua kitoto cha 20 kuja juu na hapo zinapigwa amapiano na nyimbo za Marioo. Anywa ongeeni na mwenye nyumba amueleweshe kadhia anayowapa nyie. Kiukweli sio ustaarabu kabisa na inakera sana
Usitahimilivu wa watu kama hao ni ishara ya kua mature au ukomavu.Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Mwambie huo ni ushamba tu kama ushamba mwingine ,tena mwambie jirani harufu ya kijijini bado haijakutokaHello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Kwa sasa umepona hizi tonsils na tinnitus?Nguo ya kuzima haisitiri matraqooooo .Nimeshawhi kuishi na mtu wa aina hiyo halafu mimi ndio nasumbuliwa na Tinnitus na Tonsils..
Ni balaa tupu! Lijamaa likiingia ndani halina Cha kuwaza limuziki likubwa