Mnawezaje kuishi na mwanamke anayepiga makelele na kuongea maneno mengi ya siyoisha

hiyo hali kitaalamu inaitwa kukolea, yaani mahusiano au ndoa imekolea🐒

apo sasa ndio real love inapaswa ku-emerge, kuonekana na kuchukua nafasi yake bayana.

ustahimilivu, subra na msamaha ndio njia pekee ya kutoka kwenye kukolea huko pazito, ambako unaweza hisi kama mkwamo ama mkosi 🐒

Imeandikwa,
Pale Ninapokua Dhaifu Ndipo Nilipo na Nguvu ...

ni wako huyo ng'ang'ana nae taratibu mtafika mbali salama🐒
 
Mnyweshe Kvant kubwa au mbebeshe mimba kila mwaka
 
Wengi wanaishi na wanawake wa namna hii kwa kulishwa madawa pori, wanawake wa kibongo ni washirikina mno na ndiyo maana hawaaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…