Mnawezaje kuishi na watu wanaowaambia mama zao kila kitu kuhusu wenza walionao?

Hapo umejipinda umpikie ndizi na nyama akianza kula utasikia"mama hapikagi hivi,mama anajua Sana,anawekaga na nyanya chungu😁😁
Ee halafu sie kwetu tuna mangombe ndizi mama huwekeaga nyama ya ngombe ya maana.😂
 
Una kazi kubwa sana...yaani mama akikuchoka ni anatoa order tu uachwe na sababu jamaa yako hana kichwa cha kujitegemea atakufukuza ukute tayari na watoto mnao. Yaani hapo ni ujitajidi kumnyenyekea mama mkwe nje ya Hapo unalo.
 
Una kazi kubwa sana...yaani mama akikuchoka ni anatoa order tu uachwe na sababu jamaa yako hana kichwa cha kujitegemea atakufukuza ukute tayari na watoto mnao.
Yaani hapo ni ujitajidi kumnyenyekea mama mkwe nje ya Hapo unalo.
shida huyu mtoto wa mama atengenezejww ili aelewe anatakiwa ajitegemee kiakili, kimaamuzi, kifikra na hata kiuchumi?
 
shida huyu mtoto wa mama atengenezejww ili aelewe anatakiwa ajitegemee kiakili, kimaamuzi, kifikra na hata kiuchumi?
Aisee ni kazi sana sikukatishi tamaa lakini Nina ushuhuda wa watu wa aina hiyo ambao walishindwa kubadilika kabisa hasa pale unapotofautiana na mama yake.
Na sio kwamba anamchukia mke wake ila anataka kumridhisha mama yake na huwa wapo tayari hata kuvunja ndoa bila hata sababu ya msingi.
 
Baada ya Mungu ni mama


Achana na hao ambao kila kitu ni Mama's
Kuna wale ambao wanajitegemea kimaamuzi na kila kitu na hawana ukaribu huo na mama

Ila mama kwao ni first labda wawe na watoto
Yaani hao hata kama mama amekosea nitakuwa upande wake hata kama wewe ni innocent huna kosa najua sio fair Ila ndio hivyo hakuna namna

So hata akiniambia nikuache hata kama nakupenda sana hata kama itaniathiri vibaya sana nakuacha kiroho safi

Na sita regret chochote iko hivyo

Tuendelee kuchangia tozo
 


Hakuna mwanaume wa hivyo.
HAO ni mashoga
 
Kwa hiyo uitaka uchukuwe nafasi ya mama yake? Shida wanawake mkishaolewa mnataka kusikiizwa nyie tu! Kama mama anamshauri vzr Kuna shida Gani? Mpaka anaenda kupata ushauri Kwa mama tambua Kuna sehemu ww kama mke unafeli Tena unafeli sana umejaa malalamiko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…