Mnawezaje kumshtaki mkurugenzi

Mnawezaje kumshtaki mkurugenzi

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
445
Reaction score
214
Wasomi wa sheria naomba msaada, Mimi ni mtumishi wa Umma , Miezi mawili iliyopita nimekuwa nakatwa Makato na loan board katika mshahara wangu wakati Mimi si mnufaika wa loarn board.. Nimejaribu kuwasiliana na afisa utumishi wetu na hata mkurugenzi lkn wananiambia niwasiliane na board ya mkopo wenyewe..nimepoteza mda mwingi na fedha pia. sasa nataka kutangaza mgogoro nimshtaki mkurugenzi ambaye ndiye mwajiri wangu.. Nifanyaje tafadhali.
Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kesi yako ni madai by nature, watu wa kuwashtaki hapo ni kuanzia mkurugenzi wako na bodi ya mikopo, chanzo cha madai yako hapo/cause of action ni kukatwa hela zako kimakosa, mahakama hapo ni hakimu mkazi..... okei, wamekukata kwa muda gani? uko ktk taasisi binafsi au ya serikali?
 
Muandikie barua rasmi Mkurugenzi wako ukinakilisha kwa Loan Board ukiomba kurejeshewa kiasi cha fedha walichokukata kimakosa. Natumaini watazirejesha.
 
kesi yako ni madai by nature, watu wa kuwashtaki hapo ni kuanzia mkurugenzi wako na bodi ya mikopo, chanzo cha madai yako hapo/cause of action ni kukatwa hela zako kimakosa, mahakama hapo ni hakimu mkazi..... okei, wamekukata kwa muda gani? uko ktk taasisi binafsi au ya serikali?
Nipo serekalini... Idara ya afya ni miezi Saba sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka huu ni mwezi wa Saba nimeandika zaidi ya barua tatu.. Mwisho wakanitaka niitume kwa ems.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mlupembe, kimsingi makato hayo yanafanywa na mwajiri wako na kuwasilishwa tu huko HLSEB, Hivyo wa kushughulika naye ni mwajiri wako na si vinginevyo. Mie niliwahi kukatwa kimakosa miezi mitatu baada ya kumaliza madeni yao, nilivyogundua nikamuandikia mwajiri na mwezi huohuo walitema cheji yangu.
 
Back
Top Bottom