Mlupembe
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 445
- 214
Wasomi wa sheria naomba msaada, Mimi ni mtumishi wa Umma , Miezi mawili iliyopita nimekuwa nakatwa Makato na loan board katika mshahara wangu wakati Mimi si mnufaika wa loarn board.. Nimejaribu kuwasiliana na afisa utumishi wetu na hata mkurugenzi lkn wananiambia niwasiliane na board ya mkopo wenyewe..nimepoteza mda mwingi na fedha pia. sasa nataka kutangaza mgogoro nimshtaki mkurugenzi ambaye ndiye mwajiri wangu.. Nifanyaje tafadhali.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app