- Thread starter
- #21
Kama unanunua zile sagula sagula lazima utoke na mbovu japo mwanzo unaweza sema umepata nguo Kali.
Nenda katungue mtumba kule ilala boma asubuhi na mapema.
Nipo Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unanunua zile sagula sagula lazima utoke na mbovu japo mwanzo unaweza sema umepata nguo Kali.
Nenda katungue mtumba kule ilala boma asubuhi na mapema.
Nguo zipo tena kali tu kwa kuanzia nampa tano fredy mitumba yuko twitter goli lake liko kahama namkubali sana mwamba nguo ziko izuri
Viatu kuna kacha mitumba na na mUwezo org wasake insta utakubali mie ninachangamoto ya suruali za kadeti ndio hakunaKahama kwa mtumba class hata mwanza hawawafikii, zamani mtumba safi nilipata mbeya nako naona wanauza lonya tu, siku hizi navizia kahama au kampala ndio unanunua kitu unavaa unajiona kweli umevaa, hata viatu vya mtumba kahama kuna mwamba anaitwa michael yuko njema hana kazi mbovu
Huyo mtoto uliyemuweka kama avatar yako namtafuta kwelikweli.Ni sahih kbsa mm jirani na karume pale ila sijawi bahatisha nguo inayonifiti vzr ,wale jamaaa wanajuwa San kupoint nguo
Waaniletee that ambalo wao kule wamekamat kwa elf 500 had 4000 wakija kwangu wananingangania kwa elf 15000 mwisho 12 ila Ni Kali kweli
Naomba hiyo connection kama hutojali. Nipo darNilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.
Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.
Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
Ya mitumba au za China na Uturuki?Naomba hiyo connection kama hutojali. Nipo dar
Kahama kwa mtumba class hata mwanza hawawafikii, zamani mtumba safi nilipata mbeya nako naona wanauza lonya tu, siku hizi navizia kahama au kampala ndio unanunua kitu unavaa unajiona kweli umevaa, hata viatu vya mtumba kahama kuna mwamba anaitwa michael yuko njema hana kazi mbovu
Za mitumbaYa mitumba au za China na Uturuki?
wanapatikana wapi nipe ramaniNilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.
Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.
Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
niunge na mimi bossHao wa Arusha, Congo, Zambia, Malawi wanachukuwa Dar.
Wewe unafanya biashara au shopping binafsi?
Mtoa Uzi..je umbo lako au mwili wako ukoje..maana nguo ileile iliyompendeza mwenzio kwako inaweza isikupendeza kutokana na mwili wako ulivyo.
Mkuu tupe bei zake tujue maana mie nipo hapa dar nijipange unijiunge humoNilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.
Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.
Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.
Unadakia wapi vitu vyakoKuna ile mitumba glade1 mimi hua nanunua kwa 12-15 ni kali sana kuna t-shirts pens na jeans kali lakini ukitaka mtumba mbovu ndo utanunua kwa afutatu
kuna watu kila chochote anachonunua machoni pa watu huwa wanakiona kizuri. Ushawahi jiuliza kwaniniHabari zenu watanashati nina shida leo Naomba msaada hivi mnawezaje kuchagua nguo kwenye mtumba tena zile grade nzuri kabisa mbona mimi nimeshindwa kila nikinunua nguo mtumbani nikifika nyumbani naiona mbaya tena nikivaa hainipendezi kabisa
Naombeni muongozo nifanyaje nitumie mbinu gani kupata nguo nzuri mtumbani
Je, kuna vigezo vyovyote mnavyotumia kupata nguo zinazowapendeza
Asante
Sababu hujaamua washusha beiHao walengaji wanauza ghali balaa unakuta gauni au trouser 25000 [emoji26]
Nampataje Twitter?Nguo zipo tena kali tu kwa kuanzia nampa tano fredy mitumba yuko twitter goli lake liko kahama namkubali sana mwamba nguo ziko izuri