Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

Nilidhani upo Dar, ungeenjoy mitumba classic first class for cheap price.

Tena wakishajuwa size yako zikitoka pamba Kali tu unarushiwa WhatsApp ukiipenda unaletewa nyumbani.

Binafsi huwa nakwenda madukani Mara chache sana, rafiki zangu wanaokwenda China na Uturuki wakija na mzigo nachaguwa kupitia Wasapu naletewa nyumbani, wanajuwa size yangu.

Mkuu niunge nami kwenye hilo group
 
Nipe namba yake
Kahama kwa mtumba class hata mwanza hawawafikii, zamani mtumba safi nilipata mbeya nako naona wanauza lonya tu, siku hizi navizia kahama au kampala ndio unanunua kitu unavaa unajiona kweli umevaa, hata viatu vya mtumba kahama kuna mwamba anaitwa michael yuko njema hana kazi mbovu
 
Nguo kali za mitumba grade A, Cream kabisa, za kike na za kiume.

Wanawake.
1. Mashati ya ofisini.
2. Mashati casual.
3. Form 6.
4. Jeans mkataba.
5. Pensi.
7. Flana.
9. Cardet.
10. Suaruali za vitambaa.

Wanawake.
1. Magauni ya sherehe.
2. Madira.

Nicheki #0623123369 wasap nikuunge group au unaweza ukaingia moja kwa moja.

Shati og kabisa bei 20,000.
Shati Brand kubwa.View attachment 2567584View attachment 2567585View attachment 2567586View attachment 2567587View attachment 2567588
IMG_20230326_173952_175.jpg
 
Kama upo dar mbona simpo wahi karume asubuh kwa wale wafungua mabelo
 
Mimi navaa mtumba 90% ya nguo zangu zote
Sijisifiii ila napendeza haswa 😂
Kuvaa kupendeza na kuchagua nguo nzuri ni sanaa tu au kipaji sio kila mtu anacho.
kama huna macho/kipaji kununua nguo nunua zilizotundikwa.
Mimi nashinda mitaa ya posta samora dar es salaam
Kuna watu wanauza mtumba gradeA quality ya juu sana price 15,000 _55,000
Upo instagram wafollow @daju.collection
Chukua namba0718446630 mwambie akusave uone status pia mpe size yako au fika dukani kwao maana 90% ya nguo anazopost insta ni zilizobaki.
Kila siku saa7 mchana wadada wako dukani kwao wanagombania nguo
Halafu ukitaka kupata mtumba safiiii usiwe mbahili 😂😂😂

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Mimi navaa mtumba 90% ya nguo zangu zote
Sijisifiii ila napendeza haswa [emoji23]
Kuvaa kupendeza na kuchagua nguo nzuri ni sanaa tu au kipaji sio kila mtu anacho.
kama huna macho/kipaji kununua nguo nunua zilizotundikwa.
Mimi nashinda mitaa ya posta samora dar es salaam
Kuna watu wanauza mtumba gradeA quality ya juu sana price 15,000 _55,000
Upo instagram wafollow @daju.collection
Chukua namba0718446630 mwambie akusave uone status pia mpe size yako au fika dukani kwao maana 90% ya nguo anazopost insta ni zilizobaki.
Kila siku saa7 mchana wadada wako dukani kwao wanagombania nguo
Halafu ukitaka kupata mtumba safiiii usiwe mbahili [emoji23][emoji23][emoji23]
KWELI DADADANGU WATU WANAVOSIKIA MTUMBA WANADHANI NDO NGUO ZA BEI RAHISI, HAWAJUI KAMA KUNA GRADE 1 AMBAZO NDO HIGH QUALITY NA EXPENSIVE KULIKO SPECIAL ZA WACHINA.
 
KWELI DADADANGU WATU WANAVOSIKIA MTUMBA WANADHANI NDO NGUO ZA BEI RAHISI, HAWAJUI KAMA KUNA GRADE 1 AMBAZO NDO HIGH QUALITY NA EXPENSIVE KULIKO SPECIAL ZA WACHINA.
Yaani mtu anawaza mtumba elfu8 hivi ikizidi elfu 10 yaani hapo kajikaza kweli......Hizo ni ronya mtumba kwelikweli ni gharama
Na unapata nguo nzuri hazichakai mapema pia unakua unique hufanani na kila mlimwengu.
 
Tafuta siku wanayofungua mzigo mpya, Then nenda mapema na pia usipendelee kuchagua vinguo vya bei ndogo.

pia, omba msaada kwa anayeuza akusaidie kuchagua viwalo vikali.
 
Mimi Nipo Arusha na hua naenda kununua krokoni au moshi memorial
Nenda tengeru Wednesday na Saturday.

Nilienda Jumamosi nikajipatia viwalo vya maaanaa.Kila mtu ofsini ananiuliza.

Pia, usiende kuchagua vimtumba vya bei chee mf.mtu anauza top buku na pembeni anauza 3000( mzgo mpya) wewe nenda kwenye Mzigo mpya
 
Kwa DAR nguo za kike tu wanauza
Posta SAMORA NHC HOUSE
GROUP HIII

Nimetoa link anayehitaji

No. 0718446630
save mwambie akuadd kwa group
 
Habary watu wangu nauza Tshirt nzuri 14k only reja reja
 
Attachments

  • IMG-20230610-WA0065.jpg
    IMG-20230610-WA0065.jpg
    162.3 KB · Views: 19
  • InShot_20230610_141545127.jpg
    InShot_20230610_141545127.jpg
    284.4 KB · Views: 21
Back
Top Bottom