Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

Kama unanunua zile sagula sagula lazima utoke na mbovu japo mwanzo unaweza sema umepata nguo Kali.

Nenda katungue mtumba kule ilala boma asubuhi na mapema.

Nipo Arusha
 
Nguo zipo tena kali tu kwa kuanzia nampa tano fredy mitumba yuko twitter goli lake liko kahama namkubali sana mwamba nguo ziko izuri

Kahama kwa mtumba class hata mwanza hawawafikii, zamani mtumba safi nilipata mbeya nako naona wanauza lonya tu, siku hizi navizia kahama au kampala ndio unanunua kitu unavaa unajiona kweli umevaa, hata viatu vya mtumba kahama kuna mwamba anaitwa michael yuko njema hana kazi mbovu
 
Viatu kuna kacha mitumba na na mUwezo org wasake insta utakubali mie ninachangamoto ya suruali za kadeti ndio hakuna
 
Huyo mtoto uliyemuweka kama avatar yako namtafuta kwelikweli.
 
Naomba hiyo connection kama hutojali. Nipo dar
 

Yupo mitaa gani?
 
wanapatikana wapi nipe ramani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa Uzi..je umbo lako au mwili wako ukoje..maana nguo ileile iliyompendeza mwenzio kwako inaweza isikupendeza kutokana na mwili wako ulivyo.
 
Mtoa Uzi..je umbo lako au mwili wako ukoje..maana nguo ileile iliyompendeza mwenzio kwako inaweza isikupendeza kutokana na mwili wako ulivyo.

Mwili wa wastani sio mnene wala mwembamba
 
Yeah, kuwahi asubuh nayo n point.., but sna uhakika pale ilala boma mzigo mpya huwa unaingia kila siku ama n sku gani katika week ili kufanya timing nzuri ya nguo kabla azijaishiaa
Msaada please mwenye kujua mzigo mpya hua unakuja jumangap??

Pia sehem zngne n zipi naskia pia kuna maeneo ya machnga complex

Sehem zngne n zp ambazo naweza nkafanya timing ya mabelo mapya kuchagua na n juma ngap
 
Mkuu tupe bei zake tujue maana mie nipo hapa dar nijipange unijiunge humo
 
Kuna ile mitumba glade1 mimi hua nanunua kwa 12-15 ni kali sana kuna t-shirts pens na jeans kali lakini ukitaka mtumba mbovu ndo utanunua kwa afutatu
 
kuna watu kila chochote anachonunua machoni pa watu huwa wanakiona kizuri. Ushawahi jiuliza kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…