Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wila mpya ni changamoto, wana njaa sana na rushwaAisee hivi mnapataje vibali vya ujenzi?
Nimefuatilia sasa mwezi wa pili mpaka nakata tamaa. Mbona kuna urasimu sana? Hiyo Ubungo.
Kila la kheri Mkuu.Aisee sivai kabisa. Jumatatu nataka kumuona Mgurugenzi hadi DC ili wanieleze nifanye nini ili nipate kibali. Maana kila kitu nimekamilisha.
Ujinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p
Waliniahidi leo but chali. Hawa jamaa sijui wananini aisee. Rushwa sitoi.Ujinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p
Wee jamaa unichekesha sana. Ila usemalo ni kweli kabisaUjinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p